Natafuta Kazi kwenye Stationary

Natafuta Kazi kwenye Stationary

Anza wewe kujifunza kuandika ndo uje uniambie mm. Huna hata aibu jifunze kukaa kimya sio kila post ikiandikwa humu JF lazima na wewe uandike kama huna point potezea ili amani ya moyo iendelee kuwepo.

Kweli una hasira maana huyo uliemjibu wala hajakwambia wewe.
Pole lakini ipo siku utapata kazi na hasira zako zitashuka
 
Mbona unatafuta kazi kibabe sana binti...!!
Hata kama kweli kuna mtu anania ya kukusaidia, unadhani kwa uandishi huo utaweza kumshawishi..??
Haya, haujajieleza vya kutosha kama upo wapi, unauzowefu wa muda gani kwenye hiyo kazi, unajua kutumia vifaa gani na kadhalika..
Na usidhani kama kuweka namba ya sim kwako itakuwa rahisi kupata unacho kihitaji/kitafuta, sana hiyo namba ulio iweka nina hakika 90% ya watakao kupigia watakua sio kwa nia na madhumuni uliyo yakusudia.
Pia, kwajinsi jf ilivyo badilika usijiaminishe kwamba hiyo namba itaaminika kama kweli wewe ulivyo kusudia kuiweka hapa jamvini.
Huyu anatafuta danga tu
 
Anza wewe kujifunza kuandika ndo uje uniambie mm. Huna hata aibu jifunze kukaa kimya sio kila post ikiandikwa humu JF lazima na wewe uandike kama huna point potezea ili amani ya moyo iendelee kuwepo.
Wala haukuambiwa wewe! kwanini unakuwa ivo?

Aisee... Dunia imeva sketi[emoji23]
 
Kweli una hasira maana huyo uliemjibu wala hajakwambia wewe.
Pole lakini ipo siku utapata kazi na hasira zako zitashuka
Pole na wewe. na mm sijamjibu huyo Siku njema na amani ya mwenyezi mungu iwe pamoja nawe🙂🙂
Kweli una hasira maana huyo uliemjibu wala hajakwambia wewe.
Pole lakini ipo siku utapata kazi na hasira zako zitashuka
 
Wala haukuambiwa wewe! kwanini unakuwa ivo?

Aisee... Dunia imeva sketi[emoji23]
Jamani na.mm sijamjibu Huyo MTU yeye kama unavyofikiria wewe.inahitaji utambuzi. Dunia imejaa mauzauza. Siku njema kwako.
 
Huyu hata mume hawezi ishi nae m'babe sana!au mwenye stationery ukilogwa uingie nae mahusiano basi ujue stationery itakua yake.
Danitha
 
Dah... Danitha Tafuta kazi kwa unyenyekevu.. Maneno yako yanaweza kukunyima vitu muhimu kwenye maisha
Unaujua huo unyenyekevu wewe au unatamka tu. Wangapi humu JF katika kupost post zao wametumia neno MWENYE UHITAJI katika wote hao mm ndo ni
 
Unaujua huo unyenyekevu wewe au unatamka tu. Wangapi humu JF katika kupost post zao wametumia neno MWENYE UHITAJI katika wote hao mm ndo nimewakera. Wangapi wanaandika post zao vizuri kwa nia njema matokeo wanajibiwa vibaya wengine wanatukana. Huo ndo unyenyekevu
N
 
Huyu hata mume hawezi ishi nae m'babe sana!au mwenye stationery ukilogwa uingie nae mahusiano basi ujue stationery itakua yake.
Danitha
Hayo ni maneno tu na mawazo yako hata kwenye kanga yameandikwa. Halafu nahisi wewe itakuwa umeolewa ndo maana unaandika pumba eti mbabe halafu wewe utakuwa nani. Riziki anatoa mungu sio wewe binadamu mwenye mawazo potofu.
 
Unaujua huo unyenyekevu wewe au unatamka tu. Wangapi humu JF katika kupost post zao wametumia neno MWENYE UHITAJI katika wote hao mm ndo ni
Bila shaka una stress za maisha.. Khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama sio stress basi itakuwa nyege... Maana zikizidi lazima uwe na hasira kila wakati..

Nakutakia utafutaji mwema
 
Jamani na.mm sijamjibu Huyo MTU yeye kama unavyofikiria wewe.inahitaji utambuzi. Dunia imejaa mauzauza. Siku njema kwako.
inahitaji utambuzi kivipi? Sasa umem-quote alafu unasema hujamjibu yeye[emoji23][emoji23]

Punguza hasira, Relax
 
Bila shaka una stress za maisha.. Khaa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kama sio stress basi itakuwa nyege... Maana zikizidi
inahitaji utambuzi kivipi? Sasa umem-quote alafu unasema hujamjibu yeye[emoji23][emoji23]

Punguza hasira, Relax
Tumia utambuzi relax
 
Kwa haya majibu bila shaka unaweza tambua kiwango cha elimu cha mtu...bado sana
 
Hayo ni maneno tu na mawazo yako hata kwenye kanga yameandikwa. Halafu nahisi wewe itakuwa umeolewa ndo maana unaandika pumba eti mbabe halafu wewe utakuwa nani. Riziki anatoa mungu sio wewe binadamu mwenye mawazo potofu.
Sasa kama anatoa Mungu humu ndani umekuja kuomba nini si ungeenda kanisani ?, Kumbuka mtumikie kafiri upate mradi wako.., na Beggers can not be Choosers...,

Hata kama watu wamekujibu hapa wakakukosea duniani tupo tufauti unaweza kumjibu mmoja asiye na busara kwa hasira, mwenye busara na ambaye angekufaa akaona ulivyomtenda mwingine akaogopa kukupa ajira..., ukizingatia kazini kuna wateja wa aina tofauti sasa kama una hasira hivi si utawapiga wateja na hio lamination machine ?
 
Hata wewe sio kosalako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom