- Thread starter
- #21
Kazana kutafuta utapata atakayekufaa ambaye ataandika vizuri katika uandishi wake. Tulishawazoea watu aina hiyo hatuoni ajabuNilikuwa nahitaji mtu wa stationary ila uandishi wake tu hapanaaa
Kazana kutafuta utapata atakayekufaa ambaye ataandika vizuri katika uandishi wake. Tulishawazoea watu aina hiyo hatuoni ajabuNilikuwa nahitaji mtu wa stationary ila uandishi wake tu hapanaaa
Tuliwashazoea hao unaowaona wewe wanaviburi lkn ukigeuza upande wa pili ndivyo sivyo. KARIBU TENA KWA USHAURI. 🙂Binti, huo unao uita upuuzi ndio hasa ushauri ulio kuingia sawia.
Na hapo palipo kukera ndipo hasa unapaswa uparekebishe ili kweli uonekane muhitaji na kisha mambo yaende vizuri.
Bado nakushauri tena kwamba punguza kuomba kazi kibabe (kwamba mwenye kukuhitaji atakupigia sim...!!), na hii inaonyesha wazi jinsi ulivyo kwa upande wa pili ambao hatuja jaaliwa kuuona kwenye maandishi yako.
Hakuna mtu yeyote alie wahi kufanikiwa kwasababu eti ni mwingi wa kibri
Usishangae wala kutetemeshwa na watu kama hao wanaokatisha tamaa wenzao wako kwa ajili ya kazi hiyo. UBINAADAMU NI KAZI!!!!Haaa usimkatishe tamaa
Pole saana mwanawaniHata sisi hatutaki usumbufu
Kweli kabisa na wewe umeliona hilo,!!! Si kila post atakayotuma MTU lazima uijibu vitu vingine wanatakiwa watu wapotezee wawaachie wenye uhitaji. Mara weka email Mara picha ili mradi tu wao wajifurahishe, unajua wengi hawaingii kila wakati mtandaoni kwa hiyo ukiiweka namba inasaidia haraka kukupata hewani kama MTU anakuwa na uhitaji wa ukweli. KUNA mwingine hana uhitaji atakupigia simu kukukukebehi ni kupoteza muda KAMA IPO IPO TU.😕😕Mkuu Danitha ndio walivyo baadhi ya member wa jf haswa huyo ushimen ni wanafiki wanafiki sana ,yani kazi yao kubwa kutafuta kijisababu ili usisaidike , hapo usingeweka namba wangekukandia kwa nini, umeweka namba bado wanakukandia na visababu visivyoeleweka.
Mkuu, huku ni kufarijiana ujinga. Na bahati nzuri sana kidogo nimefanikiwa kukufahamu, basi naomba nikupuuze.Mkuu Danitha ndio walivyo baadhi ya member wa jf haswa huyo ushimen ni wanafiki wanafiki sana ,yani kazi yao kubwa kutafuta kijisababu ili usisaidike , hapo usingeweka namba wangekukandia kwa nini, umeweka namba bado wanakukandia na visababu visivyoeleweka.
Sio kosa lako weweHuyu anaomba kazi ya stationary au kuuza bangi? Maana sioni unyekekevu hapa alaf kesho uje uanze kulialia ooh vijana hatuna kazi.
Hahaaaa kama nilivyokupuuza Mimi.pole saaaana walimwengu ndivyo walivyoooMkuu, huku ni kufarijiana ujinga. Na bahati nzuri sana kidogo nimefanikiwa kukufahamu, basi naomba nikupuuze.
Pia nikukumbushe kwamba kusaidiwa ni hiyari na wewe usiibadilishe kuwa ni jambo la lazima.
Hahaaaa kama nilivyokupuuza Mimi.pole saaaana walimwengu ndivyo walivyooo
Siku zote heshima haiji bila wewe binafsi kujiheshimu. Jiheshimu ili uheshimiwe. Uliona wapi MTU anatoa unyasi ulio katika jicho LA mwingine wakati yeye ana boriti kubwa. Basi anza boriti ndipo unyasi utolewe.Jamani vijana jitambue, mjiheshimu na kuheshimu wengine ili msaidiwe..!
Jifunze unyenyekevu utawavusha mto aisei, binafsi Nina NAFASI za kuajiri vijana zaidi ya wanne za sales ila sasa akili zenu muda naona nikomae mwenyewe kwakweli. Personalities zenu kimaongezi, kujieleza, na vitendo havitoi fursa mtu kuwa amini badirikeni kiburi si maungwana na mgema akisifiwa tembo hulitia maji.
Nenda kalale mwanawaniUmeandika kama unakimbizwa na mbwa koko....Sitaki kupoteza vocha yangu kwa maswali ambayo ungeyapunguza hapa!
Hutaki usumbufu, kwanza na mimi sitaki usumbufu[emoji855][emoji855]
Jeuri na kiburi chenu kitawaponza, kimya na unyenyekevu unalipa utambue Hilo, kujibizana na kujifanha jeuri kutakulaza njaa siku moja.Siku zote heshima haiji bila wewe binafsi kujiheshimu. Jiheshimu ili uheshimiwe. Uliona wapi MTU anatoa unyasi ulio katika jicho LA mwingine wakati yeye ana boriti kubwa. Basi anza boriti ndipo unyasi utolewe.
Jifunze kuandika.Tatizo hujataja uzoefu wako unaweza kufanya nini humo umepost kibabe huja ambatanisha picha nilikuwa nataka nikuombe kwa sister yangu alikuwa anahitaji mwajiri mpya kwa stational mpya kwaheri
Kama akikujibu, atasema umemtukana ama una roho mbayaJamani vijana jitambue, mjiheshimu na kuheshimu wengine ili msaidiwe..!
Jifunze unyenyekevu utawavusha mto aisei, binafsi Nina NAFASI za kuajiri vijana zaidi ya wanne za sales ila sasa akili zenu muda naona nikomae mwenyewe kwakweli. Personalities zenu kimaongezi, kujieleza, na vitendo havitoi fursa mtu kuwa amini badirikeni kiburi si maungwana na mgema akisifiwa tembo hulitia maji.
Kaa kimya kwanza wewe, kama we we ni mnyenyekevu kwa nn unaendelea kujibu msg. Utakuwa wa kwanza kulala na njaa wewe unayejifanya una unyenyekevu kumbe hata haujui maana ya sifa ya unyenyekevu. Anayetoa riziki ni mungu wewe ni nani si binadamu tu. Hebu jaribu kuonyesha huo unyenyekevu.Jeuri na kiburi chenu kitawaponza, kimya na unyenyekevu unalipa utambue Hilo, kujibizana na kujifanha jeuri kutakulaza njaa siku moja.
Jifunze kuandika.
Anza wewe kujifunza kuandika ndo uje uniambie mm. Huna hata aibu jifunze kukaa kimya sio kila post ikiandikwa humu JF lazima na wewe uandike kama huna point potezea ili amani ya moyo iendelee kuwepo.Jifunze kuandika.