Natafuta kazi kwa ajili ya kujitolea katika sekta ya uchimbaji wa madini

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
294
325
Mimi ni kijana (wakiume) ambaye Nina diploma ya uhandisi migodi (Mining engineering) . Nina uzoefu katika uchimbaji na shughuli hizo kwa miaka kadhaa. Kazi ambazo naweza kuzitenda /kushauri site ni , uchorongaji, (drilling) , utegaji baruti (charging), ulipuaji miamba (rocks blasting), utengenezaji wa winch (local hoisting system), utengenezaji wa local balls mill crushers, maintenance ya compressor, diggers na jackhammer, usimamizi wa kazi migodini pia na uchenjuaji dhahabu!

Kwa mawasiliano zaidi, Naomba uje PM nikupatie contact number zangu!

Naomba kuwasilisha!
 
Back
Top Bottom