Natafuta kazi halali jijini Dodoma

Natafuta kazi halali jijini Dodoma

Wewe ni Juha kwelikweli!

Unadhani mimi kukupiga Spana hapa unanichukulia poa?,Uliza wanawake wenzio hapa JF ndo wananifahamu vizuri Zumbukuku wewe!.

Muda huu nipo kwangu kwenye nyumba yangu niliyoijenga kwa fedha zangu halali huku nikila kiyoyozi wakati huo nikiendelea kukupiga Spana Tahira,juha,zwazwa,zuzu,zumbukuku,limbukeni GENTAMYCINE a.k.a MZURI SANA !

Vipi wewe hapo Kawe ukwamani mwenye nyumba ajadai kodi yake?

Vipi vipigo kutoka kwa wajeda bado wanawatemebezea?
kuna kazi ya kuogesha mbwa nimependekeza wewe uliyefanana nao sura na juha, mshamba na masikini mwenzako CAPO DELGADO mkaifanye sawa?
 
Kazi kumpa sio shida ila aseme Elimu yake au fani au experience ya kazi aliyonayo .

Ila mimi nimemjibu kulingana na nukuu za wanazuoni wakubwa hapa duniani .

Ukizingatia mimi amewahi kuninyima raha kwenye kajukwaa kamoja hivi , basi nikawa namuogopa kishenzi maana alinichachafya kwa nukuu za wanazuoni wakubwa nikasema hili ni lidingi fulani wacha nisibishane nalo kumbe ni katoto kadogo kananipanda kichwani .

Anaandika mzee mmoja wa makamo wao ni wao
"Ni kheri kuwa mjinga wa mawazo mbele ya kadamnasi kuliko kuvimba mabega wakati muda ungalipo "

Anyway oyaa wewe CAPO DELGADO ulipata kazi au haukupata ? Njoo hapa haraka unijibu tuone tunabebana vipi wewe litoto
HAbari wakuu,
Natafuta kazi
Nipo Dodoma
Binti wa miaka 26
Elimu: Bachelor degree in project management
Experience: 1 year (as Data entrant)
Nina uwezo mzuri wa kutumia computer
Ahsanteni.
 
HAbari wakuu,
Natafuta kazi
Nipo Dodoma
Binti wa miaka 26
Elimu: Bachelor degree in project management
Experience: 1 year (as Data entrant)
Nina uwezo mzuri wa kutumia computer
Ahsanteni.
Unatafuta kazi gani hasa? Ungekuwa specific.
 
Huu uzi ufutwe.

Nilikuwa na kijana Namuombea kazi.

Alikiwa ni kijana wa Dodoma

Elimu yake
Undergraduate Development Economics.

Masters Degree in Finance and Investment.

AMEMALIZA MASOMO NA AMEPATA KAZI.

Asanteni kwa ushirikiano.
🙏
Na wala haujafutwa Mpuuzi Mmoja Wewe Moderators wameuacha ili Uumbuke na Tukuumbue vizuri.

Huna Kazi wala Pesa na Umasikini umekutawala halafu Kutwa unatumia 90% ya muda wako Kupambana na Mimi badala ya Kupambana na Hali yako Ngumu.

Niitafute nikuajiri uwe Unaosha Mbwa.

Cc: adriz
 
Na wala haujafutwa Mpuuzi Mmoja Wewe Moderators wameuacha ili Uumbuke na Tukuumbue vizuri.

Huna Kazi wala Pesa na Umasikini umekutawala halafu Kutwa unatumia 90% ya muda wako Kupambana na Mimi badala ya Kupambana na Hali yako Ngumu.

Niitafute nikuajiri uwe Unaosha Mbwa.

Cc: adriz
Kayatafuta
 
Habari wana jamii forum
Natafuta ajira ndio ninemaliza chuo mwaka huu nimesomea economics and finance ngazi ya degree
Nawaomba sana ndugu zangu watanzania mnisaidie nipate kazi
 
Kwani kuomba kazi kuna ubaya gani? Tate Mkuu GENTAMYCINE
Unafikiri kuna shida! Shida ilikuwa ni kwa mwombaji! Enzi hizo alikuwa anatukana tu watu humu jukwaani na kujiona yeye ni matawi ya juu, mwenye akili nyingi, nk. Sasa kuna siku wahuni wakalifukua hili kaburi lake la kutafuta ajira.

From there mjadala ndiyo ukaanza upya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom