Natafuta kazi halali jijini Dodoma

Natafuta kazi halali jijini Dodoma

Mkuu kijana mwenzio anaomba kazi inapaswa umsaidie kama unayo!
Kazi kumpa sio shida ila aseme Elimu yake au fani au experience ya kazi aliyonayo .

Ila mimi nimemjibu kulingana na nukuu za wanazuoni wakubwa hapa duniani .

Ukizingatia mimi amewahi kuninyima raha kwenye kajukwaa kamoja hivi , basi nikawa namuogopa kishenzi [emoji3] maana alinichachafya kwa nukuu za wanazuoni wakubwa nikasema hili ni lidingi fulani wacha nisibishane nalo kumbe ni katoto kadogo kananipanda kichwani .

Anaandika mzee mmoja wa makamo wao ni wao
"Ni kheri kuwa mjinga wa mawazo mbele ya kadamnasi kuliko kuvimba mabega wakati muda ungalipo "

Anyway oyaa wewe CAPO DELGADO ulipata kazi au haukupata ? Njoo hapa haraka unijibu tuone tunabebana vipi wewe litoto
 
HABARI WANA JAMII FORUMS.

Ndugu zangu na watanzania wenzagu mimi kijana wenu, ninaomba kazi yoyote ya Halali, NINA SHIDA NZITO SANA NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.

NAPATIKANA DODOMA.
Asanteni sana
Mbwembwe zote kujifanya unaujua mpira umuch know mwingi kumbe uko jobless .
Njoo PM nikupe kazi
 
Mbwembwe zote kujifanya unaujua mpira umuch know mwingi kumbe uko jobless .
Njoo PM nikupe kazi
God bless you daktari .
Anaandika Dr Faustine Ndugulile

"Heshimu watu atakayekusaidia humjui hapa duniani "

Anaweka utuo kidogo alafu anamalizia
"Kujikweza ni sifa ya kike kikubwa kuwa mwanaume kamili maana maisha ni kupanda na kushuka"
 
Acha ngonjera wewe ni vile haumjui tu huyo mtu alivyo na dharau ,kiburi na ujuaji.
 
Acha ngonjera wewe ni vile haumjui tu huyo mtu alivyo na dharau ,kiburi na ujuaji.
Sio ngonjera ila ukinielewa utajua namjua vyema huyo bwana mdogo na mimi ni mmoja wa wale waliowahi kukebehiwa embu rudi kwenye komenti zangu nyuma nisome utanielewa .

Nimekupa kongole kukubali kumpa kibarua ila namkumbusha dunia ilivyo duara
 
Najua dunia ni duara,natambua na yeye amefahamu kama dunia ni duara kuanzia Leo awe mtulivu
 
HABARI WANA JAMII FORUMS.

Ndugu zangu na watanzania wenzagu mimi kijana wenu, ninaomba kazi yoyote ya Halali, NINA SHIDA NZITO SANA NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.

NAPATIKANA DODOMA.
Asanteni sana
Aahaaaa
 
Una moyo safi sana ,nakupa hongera mkuu.
Mkuu kijana mwenzio kama anapitia madhira ya ukosefu wa kazi na wewe fursa hiyo unayo inapaswa umsaidie maana maisha haya hatujui kesho yetu
 
Mkuu kijana mwenzio kama anapitia madhira ya ukosefu wa kazi na wewe fursa hiyo unayo inapaswa umsaidie maana maisha haya hatujui kesho yetu

Mungu atufungulie sisi na vizazi vyetu!!

Wengine hii mitandao inatusaidia kupunguza depression!!

Kiukweli nyuma ya keyboards na phone buttons kuna mitihani mingi miongoni mwetu.
 
HABARI WANA JAMII FORUMS.

Ndugu zangu na watanzania wenzagu mimi kijana wenu, ninaomba kazi yoyote ya Halali, NINA SHIDA NZITO SANA NAOMBENI MSAADA WENU NDUGU ZANGU.

NAPATIKANA DODOMA.
Asanteni sana
kutwa kumsakama GENTAMYCINE wa watu hapa jamiiforums wakari kumbe una dhiki na shida tupu pumbavu mmoja wewe

Haya njoo pm ili nikupe dili la Kazi ya kuosha mbwa wa akina GENTAMYCINE pale kwao coco beach Oysterbay mita chache tu na nyumba ya waziri mkuu na ya marehemu reginald mengi sawa?

na subiri GENTAMYCINE atoke ban yake na akutane na huu uzi hakika hutokuwa na amani tena hapa jamvini kwani atakuandama na kukupa makavu mno na hivi hampendani utamkoma

adriz upo....?
 
Mmepaniki wazee kukosa kazi hakuhusiani na ushabiki😂
 
Kama unaweza kazi ya kuuza miwa na toroli tafadhari tuwasiliane nimekuPM
CAPO DELGADO kuna kazi ya kuuza miwa vipi uliichangamkia au? kama bado sema ili nikupe dili la kuosha na kukogesha mbwa wa akina GENTAMYCINE pale kwao kwani alitangaza mahala kuwa anahitaji mfanyakazi. mnaweza hata kuifanya kwa kolabo na masikini mwenzako TUKANA UONE ili mpunguze stress na frustration zenu zitokazo na dhiki na shida na mkazihamishia katika kuwachukia members hapa hasa hasa GENTAMYCINE ambaye kutwa mnamuandama
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom