adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,631
- 34,121
Mimi nina roho ya huruma sana mkuu ,hapa nilipo naona dhiki moyoni kwa kumfanya jamaa aache tambo zake ,nyodo ,majivuno na matusi baada ya kumpa sindano zangu kali katika uzi ule na kuufufua huu uzi.kutwa kumsakama GENTAMYCINE wa watu hapa jamiiforums wakari kumbe una dhiki na shida tupu pumbavu mmoja wewe
Haya njoo pm ili nikupe dili la Kazi ya kuosha mbwa wa akina GENTAMYCINE pale kwao coco beach Oysterbay mita chache tu na nyumba ya waziri mkuu na ya marehemu reginald mengi sawa?
na subiri GENTAMYCINE atoke ban yake na akutane na huu uzi hakika hutokuwa na amani tena hapa jamvini kwani atakuandama na kukupa makavu mno na hivi hampendani utamkoma
adriz upo....?
Japo yeye alianzisha vita na mimi ila sipendi kuona mtu akikosa amani na kuingiwa na uwoga kutochangamka tena kama zamani .Sijui kwa nini halo hii inanikuta tokea nipo mtoto sana hata mtu akipigwa na mzazi wake sababu ya kunionea mimi basi napatwa na huzuni mimi ambaye nimekosewa..
Hata hivyo vita yangu imeleta matokeo chanya jamaa sasa kamrudia Mungu ukisema vibaya anatumia upole na vifungu vya hekima bila dhihaka.
Hitimisho : Naomba mleta nada asamehewe ameshatubu na kurudisha majeshi , ila sijui upande wa GENTAMYCINE akirudi itakuwaje vita yake ..sipendi shari zitokee tena mpaka mwishowe apate trauma na kukimbia jukwaa.