lucy johnxon
Member
- Jun 1, 2016
- 10
- 4
unapatikana wapMshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
unapatikana wapMshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
Hiyo 40 mpaka 45 kwa siku au kwa mwezi??Mshahara 40_45 kuuza duka upo tayari
Hujaenda kuhesabiwa Moshi?Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.