Natafuta kazi /ajira

Natafuta kazi /ajira

Status
Not open for further replies.
Salam wakuu,
Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha nne, umri 20-25 kazi yoyote nikielekezwa naweza kufanya vizuri, kuuza duka la jumla au rejareja, kituo cha mafuta (filling station) naishi Dar.
Unapenda starehe ... kuuza duka ni kazi?? Ingia shamba ukalime au nenda viwandani - wacha uzembe wa kitoto.. miaka 20-25 ndo umri gani huo?
 
Kama una cheti cha form four na unajua kutumia computer
 
Unachelewa ndugu njoo nikupe mfumo mzuri wa kuingiza Pesa kwa elfu kumi tu na uweze Kupata mtaji wako kwa muda mfupi so zaidi ya wiki mbili ila inabidi uwe serious nakuhakikishia utakuwa na ofisi yako na utapiga Pesa sana Mkuu Namba 0625840448
Network business
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom