Natafuta Katiba

Buyaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,643
1,786
Habari za mida hii waungwana.

Ni wapi nitapata kale kakitabu ka Katiba ya Kiswahili?

Nimejaribu duka la serikali mtaa wa Jamhuri hawana.

Ahsante.
 
Natafuta kitabu chenyewe (hard copy), sio nakala ya ki-elektroniki.

Hata hivyo, ahsanteni.
 
Nakala ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Kiswahili inapatikana HakiElimu bure kabisa.
 
Back
Top Bottom