Natafuta kaka/dada

ha haaaa, wale warembo wetu wanaweza kuwa pacha........
mwingine alizaliwa wakati mamake ana 18 years, mwingine mamake akiwa na 30 years....... umeipata hiyo?
Ulivyo king'ang'anizi! Basi jiunge na "shikamoo jazz band" tujue moja! Lol!
 
Ulivyo king'ang'anizi! Basi jiunge na "shikamoo jazz band" tujue moja! Lol!
ha haaa.... umeona mapendekezo yanajibiwa kwa hoja? lol!
utanishinda basi nikiamua kubishana na kusimamia hoja zangu? mwulize snowhite
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Ndio maana nikasema Da Mkubwa, kama at 38 bado ni kinda basi sina budi kupiga saluti..........shikamoo dada.
marahabaaa mdogo wangu...
ndo nnachokupendea mdogo wangu wewe... siyo mbishi kabisaaaa.....
kuna dogo anaitwa mwaJ, ni kivumbi
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK

Nakuona umefreeze baada ya kusikia kitu hiki kikiwa angani lol!....hata shikamoo milioni kwa siku hazitakutosha rafiki πŸ™‚ πŸ™‚ lol!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Nakuona umefreeze baada ya kusikia kitu hiki kikiwa angani lol!....hata shikamoo milioni kwa siku hazitakutosha rafiki πŸ™‚ πŸ™‚ lol!
ha haaa, wewe ndo unanidhihirishia kabisaaa unavyostahili kuniamkia, marahabaaaa hujambo mdogo wangu?
hizi enzi zetu hazikuwepo
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
basi si utakuwa unanifulia uniform za shule eeeh maana jana nilicheza kwenye vumbi
usijali.....
utakuwa unafua kutoa vumbi mimi namalizia kung'arisha, maana sasa umeshafikia umri wa kukufundisha kufua
 
Reactions: BAK
mimi ninachohitaji toka kwako ni uthibitisho tu ili angalau nijue kama kuna kaka huku wa kunisaidia kukimbizana na watu kule PM

Nimeattach certificate yangu hapo chini na imedhibitishwa na Paw kuwa siyo feki.

Attachments

  • EMT birth certificate.PNG
    83.5 KB · Views: 64
lol!!!! Hahahahaha mie mbavu sina πŸ™‚πŸ™‚ Nimeiangalia tena BC yako mmhhhhh! Wapenda ukubwa weye!!!!

ha haaa, wewe ndo unanidhihirishia kabisaaa unavyostahili kuniamkia, marahabaaaa hujambo mdogo wangu?
hizi enzi zetu hazikuwepo
 
Nimeattach certificate yangu hapo chini na imedhibitishwa na Paw kuwa siyo feki.

kwi kwi kwiiiii... watu wanaupenda ukubwa jamaniiii...
shida yote hii ya nini mtani?
wewe kubali tu kuniamkia yaishe kimya kimya
yaani umeenda extra mile hadi ukam-bribe Paw? hii ni unacceptable..... lazima wadau wa jf ujue...
cc. Invisible, Mike McKee, Maxence Melo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…