Natafuta kaka/dada

Natafuta kaka/dada

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
Jamani huku matangazo mengi sana ya kutafuta mke/mume/mpenzi yamezidi.....
mimi nakuja kiroho safi kabisa kutafuta dada/kaka angalau na mimi nipate wa kumkimbilia kukitokea mabounsa....
nina uhakika nina wadogo zangu wengi sana huku.... snowhite, cacico, Kaunga, Zion Daughter, Dena Amsi, Mwali, Erickb52, C6 Young Master, mwaJ (hapa ngumi zikitokea tusaidiane), sister, Madame B, Kipipi, KOKUTONA, lara 1, amu, Lady doctor, Passion Lady, dada white, ladyfurahia, Arabela, Chocs, mimisa, Heaven on earth, MwanajamiiOne, FirstLady1, charminglady, Nicas Mtei, Katavi, Mphamvu, bombom, Tized, Mentor, Arushaone (teh teh tehhhh), gfsonwin, Paloma..... na wengine wengi tu.
pia nina pacha wangu Nivea... na binamu Jiwe Linaloishi, wifi na mdogo wangu Preta
kwa wale wooote ambao wanahisi wanaweza kuwa kaka/dada zangu wajitokeze. vigezo na masharti kuzingatiwa (uwakilishaji wa birth certificate unahusika hapa).
cc. mwaJ (kama kweli unataka kuepuka kuniamkia huu ndo muda wako), Dark City..... BAK.... (jana nimekuambia uniamkie ukasepa.... leo nataka kujua kama kweli na-deserve li-shikamoo toka kwako ama la).... The Boss... Nyani Ngabu.... MziziMkavu, mtani wangu watu8, kama nashindwa kuwasoma vile.....
huyu mkwe Asprin na ma-ODM wenzake Kaizer, KakaKiiza, Mtambuzi, EMT, Bishanga (mmmhhhh!!!), RR nasubiria vyeti vyao ili nijue niwaweke upande gani.... maana kama hawasomeki vile.....
pamoja na kuwa naupenda sana udada mkubwa lakini na mimi nahitaji kuwa na dada ambaye angalau naweza kudeka ninapoamua kuwa mvivu kufikiria...... awe ananitafunia na kuniambia cha kufanya..... akina Mamndenyi, AshaDii, nyumba kubwa, Ablessed, Kongosho?????, Nyamayao ....... yaani nyie nawahisihisi tu kutokana na michango yenu..... mpaka mtakaposubmit vyeti vyenu ndo nitaamini......
hii inawahusu wootee wanaofaa kuwa kaka/dada zangu
narudia tena, vigezo na masharti kuzingatiwa........:help:
 
Last edited by a moderator:
Yaani we kukuita Da Mkubwa basi ushaanza kujihalalishia shikamoo kutoka kwangu.............. Haya am being honest to you hapa am 38 yrs old............... bado unaidai shikamoo toka kwangu?
ha haa, sidanganyiki mdogo wangu, vigezo na masharti kuzingatiwa.... birth certificate please......
 
ha haa, sidanganyiki mdogo wangu, vigezo na masharti kuzingatiwa.... birth certificate please......

Seriously.......yaani ukinihakikishia kwa matamshi tu hapa kuwa unaitaka na unastahili kweli ninaiweka kwa signature yangu ili niwe ninakuamkia kila ukiniona. lol
 
Hilo tu nlikuwa nataka kulisikia kutoka kwako Da Mkubwa.....Shikamoo ya leo, jana, na juzi. Hizo nyingine zinakuja
marahabaaaa mdogo wangu....
ingawa hapo najua umeongeza sana tu ili angalau uonekane mkubwa, still ukaingia chaka, lol!
hili ni fundisho kwa wale woote watakaoongeza miaka ili wanibeat, lol!
 
MwanajamiiOne hujambo? Ok...nitwange shikamoo....
Then niache na Fixed Point...ni mdogo wangu kabisa....huna haja ya vigezo wala masharti...!

Yaani we kukuita Da Mkubwa basi ushaanza kujihalalishia shikamoo kutoka kwangu.............. Haya am being honest to you hapa am 38 yrs old............... bado unaidai shikamoo toka kwangu?
 
Last edited by a moderator:
Mie naomba umpe hiyo kazi...:becky:
mtani, huyo dogo unajua anaweza akaja kuambia watu hapa kuwa watu walikuwa wanapiga kelele tu lakini hawanipati.....
au ni mshirika wako unataka awe anakumegea siri?
 
[FONT=comic sans ms [USER=11417]MwanajamiiOne[/USER] hujambo? Ok...nitwange shikamoo....
Then niache na Fixed Point...ni mdogo wangu kabisa....huna haja ya vigezo wala masharti...!
[/FONT]
inawezekana kabisa MwanajamiiOne akawa mdogo wako, sina tatizo kabisa na hilo.....
kwanza hata kama una miaka 30, nina uhakika bado atakuwa mdogo wako.....
ila mimi??????? yaani utakuwa na safari ndefu sana.......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mtani hebu tupia jicho kwenye haya maneno...
teh teh tehhhhhh, sababu umeitwa daddy? lol!
mtani wewe hata sijakuweka maana najua utatania tu......
mkubali nafasi zenu jamani..... siyo crime kuwa dogo
 
Back
Top Bottom