Natafuta jina zuri kwa ajili ya ofisi yangu ya chakula

FOOD ZONE RESTAURANT
HIGHTABLE RESTAURANT
au tangaza utalii wa MKOANI kwenu Kama Mimi mtu wa songwe ndio ingekuwa yangu ningeiita KIMONDO RESTAURANT kuitangaza songwe yetu,na wewe natumaini Kuna mkoa unatokea chagua jina la kivutio chochote Cha kwenu.
Kwa kumalizia namalizia na haya matatu
TOP FIVE RESTAURANT
THE WILLIAM (Kama una mpango wa kumuenzi mkapa)
Yummies secret ltd hili jina nakupa Kama unategemea kuwa mkubwa sio kuishia hapo tu,pengine siku moja unaweza jikuta una tengeneza mikate, biscuits,juice na nk tumia jina hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom