Natafuta HTC m8 Original

Natafuta HTC m8 Original

akrb

Senior Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
106
Reaction score
10
habari, natafuta htc m8 original internal memory 32 gb used,iwe ktk hali nzuri isiwe na michuboko na ubovu wowote.Budget yngu laki 5.mwenye nayo aweke contacts zake ntamtafuta,sihitaji clone original tu...
 
Ukikosa m8 mm ninayo m7 32gb iko safi kabisa ila ina back camera issue meaning kwenye dim light inakuwa na rangi ya upink......mm naiuza kwa 200k kama ilivyo
 
ukikosa kbsa nina sony experia 350 na htc sensation xp 330k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom