Natafuta House Girl, nafasi 2.

Natafuta House Girl, nafasi 2.

Andre02150

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
332
Reaction score
129
Sifa:
Apende watoto na kuwajali.
Asiwe na hasira, na awe mwenye shauku ya kujifunza.
Ajue kupika...mfano African dishes, chapati, samosa nk
Awe mbinti mwenye staha ( heshima)
Umri miaka 18 hadi 24;
Awe tayari kuishi ndani ya familia yenye watoto 2 jijini Dar ....3 and 5 years
Anayejua na kupenda usafi.
Mshahara mzuri utatolewa (zaidi ya uliopendekezwa na Mh. G. Kabaka). Nipigie 0714 284 475
 
Umri miaka 14 hadi 24;
Awe tayari kuishi ndani ya familia yenye watoto 2 jijini Dar ....3 and 5 years
Anayejua na kupenda usafi.
Mshara mzuri utatolewa (zaidi ya uliopendekezwa na Mh. G. Kabaka). Nipigie 0714 284 475

Taja mshahara kiasi gani. Unatoa contract na majukumu ya kazi ayajue kabisa maana wanafanya kazi kubwa hawa hadi kubeba waume zenu.
 
Shycas....ahsante kwa angalizo mkuu! Nitaedit kipengele cha umri
 
Last edited by a moderator:
cagu...uliibiwa mme nn? (Just spicing up tangazo) Hapana, kazi za ndani zimegawanyika sehemu mbili ili kuwapunguzia ugumu wa kazi na kuongeza ufanisi. sehemu ya kwanza ni kupika, kufua, kusafisha nyumba, na ya pili ni kuangalia/kulea watoto. Ndio sababu hasa nahitaji wawili; mmoja azingatie watoto-lishe, usafi, nk na mwingine ni nyumba kwa maana ya usafi wa nyumba, kupika na kufua nguo nk. Cha msingi ni wao kusaidiana na hivyo haimaanishi kwamba kwa sababu dada A kazi yake ni watoto hivyo akiona dada B kazidiwa na kazi amfungie vioo mwenzie. Nafikiri nimesomeka. Karibu
 
Last edited by a moderator:
Kuna mdada amemaliza form six mwaka jana,alikuwa anatafuta kazi ya house girl ana miaka 23 yupo Himo-Moshi.Ukiwa serious niPM nikupe no yake.
 
me ninaelimu ya chuo kikuu natafuta nafasi hiyo kama ni serious mshhara sh ngap
 
Si mumtafute kwenye simu jamani, maana keshatoa mawasiliano yake.
 
Kuna mdada amemaliza form six mwaka jana,alikuwa anatafuta kazi ya house girl ana miaka 23 yupo Himo-Moshi.Ukiwa serious niPM nikupe no yake.

Mmmmh...!! Huyo atagombana tu mama mwenye nyumba.
 
Ajira kwa watoto. Kaa chonjo maana hairuhusiwi kuajiri mtoto mwenye umri wa miaka kumi na nne bali umri wa kuajiri ni kuanzia miaka kumi na nane ku endelea.

mkuu si usomega vizuri kabla ya kujibu? kaandika miaka 18 hadi 24 ww hiyo 14 umeitoa wapi? au hg wako ndo ana miaka 14 so umejichanganyi ukadhani wa mtoa uzi?
 
Mie natafuta 1 umri kuanzia miaka 18 hadi 20. Elimu std vii au O-level. Wenye heshima na staha watafikiriwa malipo mazuri kila wakati kulingana na mkataba wetu.
 
Andre02150 ushauri wa bure kwako na kwa wengine tulio na watoto haswa wenye age hiyo. Unajua kikawaida binadamu anakuja kazini kutafuta pesa na si kingine.Kila penye mwanya atategea hata kama wako hg 5 ndani.Na je ni kwanini unaficha mshahara?Ukiwa na hg mzuri ndani ya nyumba una uhakika kwa masaa yote usipokuwa nyumbani mtoto hanywi maji ya ajabu,maids hawakai kwenye viti vyako kuangalia TV na music,hawamuonyeshi mtoto sehemu zao za uchi,hawakemewi,hatishwi,hapigwi mavibao,akiumwa una uhakika dawa atapewa kwa wakati na mengineyo mengi lakini na wewe unafanya kazi kwa amani.Mimi nilikuwa na maids wa design ya kutoka vijijini,sasa siwataki tena,maana ilikuwa ni mateso kila siku,wanaleta mpaka wanaume ndani ya nyumba,wezi nk. Roho ya binadamu-Mtz inaendana na kipato, mpe mkataba hata kama ni miezi 6,lakini yote uliyoyasema hapo juu,mfundishe!hata kama anayajua na mlipe vizuri,wewe na mwenzako mtazalisha zaidi ya hicho mnacho save.Mimi namlipa 150,000 lakini tungekuwa na yule wa design ya bure,hata kazi tungekuwa tumefukuzwa.ZAIDI YA YOTE PESA TUNAYOTENGENEZA NI KWA AJILI YA WATOTO,Kama haipo mmoja akae nyumbani aangalie watoto,kuliko kuja kukuta mtoto ana matatizo ya kichwa,kisa vi house g. vya 30elfu.Na ogopa wanaojidai ni wamalawi,eti baba mmalawi,mama hamjui lakini alikuwa mtanzania-wengi wao ni wezi.:tape:
 
You have put it very well. Japo hamna guarantee kuwa ukimpa 150,000 ndio atakuwa mtulivu. Ila kiukweli inashangaza sana kumpa housegirl hela ndogo ilhali uwezo unao na una watoto wadogo. Jaribu wewe siku moja hiyo kazi uone kama ni rahisi kihivyo. Maana nao kama akli zao hazijatulia watakuwa mbayuwayu. Suala la mkataba muhimu ila inategemea kama mwenyewe nae anaelewa mkataba.

Mkuu tujuze zaidi hawa Wanyasa -mbona mi ninaye muda mrefu yuko poa ?? whats the secret behind?
 
Andre02150 ushauri wa bure kwako na kwa wengine tulio na watoto haswa wenye age hiyo. Unajua kikawaida binadamu anakuja kazini kutafuta pesa na si kingine.Kila penye mwanya atategea hata kama wako hg 5 ndani.Na je ni kwanini unaficha mshahara?Ukiwa na hg mzuri ndani ya nyumba una uhakika kwa masaa yote usipokuwa nyumbani mtoto hanywi maji ya ajabu,maids hawakai kwenye viti vyako kuangalia TV na music,hawamuonyeshi mtoto sehemu zao za uchi,hawakemewi,hatishwi,hapigwi mavibao,akiumwa una uhakika dawa atapewa kwa wakati na mengineyo mengi lakini na wewe unafanya kazi kwa amani.Mimi nilikuwa na maids wa design ya kutoka vijijini,sasa siwataki tena,maana ilikuwa ni mateso kila siku,wanaleta mpaka wanaume ndani ya nyumba,wezi nk. Roho ya binadamu-Mtz inaendana na kipato, mpe mkataba hata kama ni miezi 6,lakini yote uliyoyasema hapo juu,mfundishe!hata kama anayajua na mlipe vizuri,wewe na mwenzako mtazalisha zaidi ya hicho mnacho save.Mimi namlipa 150,000 lakini tungekuwa na yule wa design ya bure,hata kazi tungekuwa tumefukuzwa.ZAIDI YA YOTE PESA TUNAYOTENGENEZA NI KWA AJILI YA WATOTO,Kama haipo mmoja akae nyumbani aangalie watoto,kuliko kuja kukuta mtoto ana matatizo ya kichwa,kisa vi house g. vya 30elfu.Na ogopa wanaojidai ni wamalawi,eti baba mmalawi,mama hamjui lakini alikuwa mtanzania-wengi wao ni wezi.:tape:

Mh! Hili nalo neno...na asilimia zaidi ya 90 hapa mjini ndo wanalipwa hiyo pesa
 
Rakeyscarl...hilo nalo jambo; nashukuru kwa nasaha zako. Ni kweli dunia ya sasa imebadilika na pengine nikiboresha maslahi mfanyakazi mmoja anatosha; kuliko kuendekeza inefficiencies (kujaza watu nyumbani). Ngoja nijadiliane na mwenzangu tuone jinsi gani tunaweza kuajiri mdada mmoja na kumlipa mshahara wa watu wawili, kwa kuanzia. Kisha kadri performance yake ikiridhisha basi tutampa salary increment accordingly.
Ahsante sana!
 
mimi nilikuwa namlipa 150,000/- lakini bado alikuwa mwizi na hapendi watoto.............
 
Lady Black...acha utani...Graduate mzima unataka kuwa nunny....hapana, kwanza ume-over qualify na pili hutokaa muda mrefu kazini kwani sooner or later opp itajitokeza.
Nafikiri opportunities zipo nyingi tu...keep exploring available options but don't be desperate kiasi cha kutaka kazi hii...kama hutojali ni4wdie cv yako kwenye inbox yangu nitajaribu kukuunganisha na potential waajiri
 
Duh..hiyo noma! Mwizi, hapendi watoto, laki na nusu na kula kulala juu yako. Kweli Tanzania imebadilika....lkn nafikiri at the end of the day ni hulka ya mtu mwenyewe. Hata ukimpa million, kama hapendi watoto hawezi kuwapenda tu..na worst case scenario atakuwa akijipendekeza ukiwepo home...ukitoka tu nyumba inageuzwa na kuwa 'boot camp' kwa wanao. Matokeo yake kila uendapo kazini asubuhi watoto wanakulilia kuliko maelezo... kazi kwelikweli!
 
Sifa:
Apende watoto na kuwajali.
Asiwe na hasira, na awe mwenye shauku ya kujifunza.
Ajue kupika...mfano African dishes, chapati, samosa nk
Awe mbinti mwenye staha ( heshima)
Umri miaka 18 hadi 24;
Awe tayari kuishi ndani ya familia yenye watoto 2 jijini Dar ....3 and 5 years
Anayejua na kupenda usafi.
Mshahara mzuri utatolewa (zaidi ya uliopendekezwa na Mh. G. Kabaka). Nipigie 0714 284 475

so umeamua wataka mmoja?
 
Nikipata mmoja itakuwa vizuri zaidi as long as tunakubaliana remuneration aka mshahara
 
Back
Top Bottom