Natafuta horn speaker kama hizi

Natafuta horn speaker kama hizi

MPANDA Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2011
Posts
1,295
Reaction score
159
Wadau, Natafuta Horn Speaker kama hizi. Mwenye kujua zinapouzwa Tanzania aniambie
 
Wapenzi natafuta kwa udi na uvumba speaker kama za hapo juu.
 
kwa bongo hizo ngumu labda uagize hapa zimejaa zile za AHUJA na MAX
 
Kariakoo barabara ya Uhuru karibu na mta wa Kongo mkuu. Kama unatokea buguruni jengo la ghorofa la nne mkono wa kulia kutoka Mzunguko wa Uhuru na Msimbazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom