Natafuta hiki kitabu

Yule mdada alikuwa ni make Wa mfalme Wa majini ambe alimkasirisha Mme wake so akapewa adhabu ya kuishi duniani. Ila kwa kuwa alikuwa ni mke Wa mfalme haikutakiwa aolewe. So kila mwanaume ambaye anamchumbia lazma afe. Ikabidi watafute mganga Wa kuagua baada ya attempts kadhaa za kutafta waganga na waganga wengne kupata masahibu makubwa akapatika mganga m1 ivi ambaye alipiga boonge LA tambiko katikati ya bahari ilk kumuagua yule mdada aweze kuolewa kikawaida.
 
Boonge la story. Nliipendaga SNA hii story ingawa kiingereza kilikuwa cha kuungaunga. natamani nikipate nikisome tena ili nifaidi vzr. Story nzur SNA na nikati ya vtabu ambavyo cjavisahau title zake na hcho cha the great ponds
 
43e5ffbe2f146865ce1a9d725c744399.jpg
Fadhy huna kwenye maktaba yako?
 
Tales of Amadou Koumba David Diop

Quartet Richard Rive

A Walk in the Night and Other Stories Alex La Guma

Houseboy Ferdinand Oyono

The Concubine Elechi Amadi

Sundiata: An Epic of Old Mali Djibril Tamsir Niane

Secret Lives Ngugi Wa Thiong’o

The Three Solid Stones Martha Mvungi

The Old man and The Medal Ferdinand Oyono

Girls at War Chinua Achebe

Uncle Tom’s Children Richard Wright

mshana jr
 
TEXTS:
The Trials of Brother Jero Wole Soyinka

The Swamp Dwellers Wole Soyinka

Kinjeketile Ibrahim Hussein

Dilemma of a Ghost Ama Ata Aidoo

The Lion and the Jewel Wole Soyinka

The Barbed Wire M. Rugyendo

Dedan Kimathi Kenneth Watene

The Government Inspector N. Gogol
 
Siku hizi vinatumika hivi

A Wreath for Father Mayer of Masasi S.N. Ndunguru (1997), Mkuki na Nyota

Unanswered Cries Osman Conteh, Macmillan

Passed Like a Shadow B.M Mapalala (2006), DUP

Spared S.N. Ndunguru (2004), Mkuki na Nyota

Weep Not Child Ngugi wa Thiong’o (1987); Heinemann

The Interview P. Ngugi (2002), Macmillan

PLAYS

Three Suitors: One Husband O. Mbia (1994), Eyre Methuen

The Lion and the Jewel W. Soyinka (1963), OUP

This Time Tomorrow Ngugi wa Thiong’o (1972), Heinemann
The Black Hermit

Ngugi wa Thiong’o (1972), Heinemann

POETRY
Songs of Lawino and Ocol O. P’Bitek (1979), EAPH

Growing up with Poetry D. Rubadiri (ed) (1989), Heinemann

Summons R. Mabala (1980), TPH

mshana jr
 
Sawasawa. Umenikumbusha nlikuwa najiuliza hapa yule main character alikuwa anazuiwa na nini kumuoa yule mwanamke?

Kuna jamaa mmoja aliyewahi kumuoa akaja akafa kwa kupigwa mshale na mtoto aliyekuwa anacheza zake.

Na "The Concubine" yule mdada huwa nataka kumfananisha na issue zinazomkuta Lulu (just kidding).
 
Siku hizi vinatumika hivi

A Wreath for Father Mayer of Masasi S.N. Ndunguru (1997), Mkuki na Nyota

Unanswered Cries Osman Conteh, Macmillan

Passed Like a Shadow B.M Mapalala (2006), DUP

Spared S.N. Ndunguru (2004), Mkuki na Nyota

Weep Not Child Ngugi wa Thiong’o (1987); Heinemann

The Interview P. Ngugi (2002), Macmillan

PLAYS

Three Suitors: One Husband O. Mbia (1994), Eyre Methuen

The Lion and the Jewel W. Soyinka (1963), OUP

This Time Tomorrow Ngugi wa Thiong’o (1972), Heinemann
The Black Hermit

Ngugi wa Thiong’o (1972), Heinemann

POETRY
Songs of Lawino and Ocol O. P’Bitek (1979), EAPH

Growing up with Poetry D. Rubadiri (ed) (1989), Heinemann

Summons R. Mabala (1980), TPH

mshana jr
A Wreath for Father Mayor ni cha zamani kimerudi tena? Vitabu vya Ndunguru navipenda vimekaa kiimani zaidi...kuna kingine kinaitwa Devine Providence ni kizuri sana
 
Back
Top Bottom