Natafuta hiki kitabu

The Great ponds nilikielewa lakini hiki ukitafutacho 'Concubine' dah!,lugha baba lugha,nilikirudia mara mbili nikiwa form one lakini duh!!!,ukikipata nigaie nami nichimbue kimalkia tena labda nitaambulia kitu.
Mkuu hukua na Dictionary utumie?
Umenikumbisha kitabu cha Meja Mwangi (Carcase for Hounds) hicho kitabu kina Kiingereza kigumu nilikisoma nikiwa na dictionary
 
43e5ffbe2f146865ce1a9d725c744399.jpg
Njoo Dar Es Salaam unakipata
 
Poa na kile weep not child je?
Aaaaah!ambiere huku ni kutoneshana u~teenager kwa makusudi kabisa.,siamini amini kama kweli AFRICA kwa sasa tunao manguli wa riwaya ka kipindi hicho cha Ngugi na akina Elechi,Shaaban Robert na nani yule,nanihii,aaah,nanihii nanihii,yule nguli kutoka Nigeria.Aaaaah!Uzee nao nishaanza sahausahau.
RIP mangwiji wa fasihi wote bila kumsahau bingwa wa riwaya bongo A.E.Musiba.
images-63.jpeg

images-802.jpeg
 
Mkuu hukua na Dictionary utumie?
Umenikumbisha kitabu cha Meja Mwangi (Carcase for Hounds) hicho kitabu kina Kiingereza kigumu nilikisoma nikiwa na dictionary
Pamoja na kutumia Dictionary mkuu vegas,nilichokuja kuki~note kama lugha haipandi vyema(haijakukaa) ni ngumu kutambua dhumuni halisi la mtunzi yaani ni ile waparazaparaza tu.,unamaliza kitabu na bado hauwezi kumhadithia mtu mwanzo~mwisho au hata haujaelewa maudhui yake.
***bahati nzuri nilikuwa na library ili kuvirudiarudia ikawa bahati mbaya kabla vingine sijavipitiapitia nyumba ikaungua kwa uzembe wa Tanesco nikavipoteza vyote na nisilipwe hata kumi.
images-915.jpeg
 
Unamukumbuka Wago the leopard killer, kwenye The great pond ?

Wago The Leopard killer, dah umenikumbusha mbali sana, jamaa walimwandama sana Olumba, mpaka kukawa na kitu kinampigia kelele, "You will die", na Olumba anajibu "I will not die".

Kwenye The Concubine kuna mmama mrembo sana nadhani ndiye main Character, alikuwa ni mzuri kweli kweli, maelezo yake ya uzuri nashindwa kufananisha na nani kibongo bongo, tatizo sasa ndo alikuwa hatakiwi kuolewa, ukimwoa tu una siku chache za kuishi.
 
Mshana, ukitaka pia ipo filamu yake ambayo ilitolewa mwaka 2007.

Concubine ni fasihi andishi kali sana.

Ipo tamthiliya ingine yaitwa The Great Ponds, ambayo Amadi alitunga inazungumzia kisima kidogo cha maji ambacho kinagombewa na wanakijiji wa vijiji viwili kima moja kikitaka kumiliki hicho kisima.
Wago "The Leopard killer" asee nakumbuka baada ya Mwl kumaliza hii story tukaanza kupangiana majina class ya wahusika..
 
Aaaaah!ambiere huku ni kutoneshana u~teenager kwa makusudi kabisa.,siamini amini kama kweli AFRICA kwa sasa tunao manguli wa riwaya ka kipindi hicho cha Ngugi na akina Elechi,Shaaban Robert na nani yule,nanihii,aaah,nanihii nanihii,yule nguli kutoka Nigeria.Aaaaah!Uzee nao nishaanza sahausahau.
RIP mangwiji wa fasihi wote bila kumsahau bingwa wa riwaya bongo A.E.Musiba.
View attachment 490498
View attachment 490508
"The stone country"
 
CHINUA ACHEBE
Mnigeria
 
Chinua Achebe
Peter Abraham
 
Wago The Leopard killer, dah umenikumbusha mbali sana, jamaa walimwandama sana Olumba, mpaka kukawa na kitu kinampigia kelele, "You will die", na Olumba anajibu "I will not die".

Kwenye The Concubine kuna mmama mrembo sana nadhani ndiye main Character, alikuwa ni mzuri kweli kweli, maelezo yake ya uzuri nashindwa kufananisha na nani kibongo bongo, tatizo sasa ndo alikuwa hatakiwi kuolewa, ukimwoa tu una siku chache za kuishi.
Sawasawa. Umenikumbusha nlikuwa najiuliza hapa yule main character alikuwa anazuiwa na nini kumuoa yule mwanamke?
 
Back
Top Bottom