Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,714 Reaction score 24,505 Sep 29, 2021 #1 Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
Tafadhali mwenye kujua hiki kifaa kinaitwaje na kinauzwa wapi anijuze. Kinafungwa kwenye gudulia linakuwa kama water dispenser na kinachajiwa, Chaja yake kama ya simu. Nimekikuta sehemu ambapo hakuna wa kumuuliza.
Mtoto wawatu Member Joined May 17, 2019 Posts 16 Reaction score 7 Sep 29, 2021 #2 Inaitwa water filter' bei inategemea naubora zinaanzia kati ya 10,000 hadi 50,000 huko.... Marayamwisho niliziona little more...
Inaitwa water filter' bei inategemea naubora zinaanzia kati ya 10,000 hadi 50,000 huko.... Marayamwisho niliziona little more...
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,553 Reaction score 74,333 Sep 29, 2021 #3 Upo Mkoa Gani?
aise JF-Expert Member Joined May 16, 2018 Posts 8,021 Reaction score 22,478 Sep 29, 2021 #4 Kama kiko sehemu na hakuna wa kumuuliza, basi kiibe.