Natafuta HDMI converter

Natafuta HDMI converter

escober

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
391
Reaction score
98
wakuu salam,
natafuta kifaa cha kuconvert video signals kutoka kwenye DVD player kwenda kwenye HDMI au SCART to HDMI conveter.
ambaye anacho hicho kifaa au anayejua naweza kukipata duka gani hapa Dar anijuze
 
Ngoja ni google kwanza ili kujua kama kipo
 
Ila pia hata mimi natafuta programu ya ku- convert HD video kutoka kwenye Camcorder yangu ili niingize kwenye CD au kutengeneza DVD
 
kaka Escober!! kama unamaanisha waya ya scart kuelekea hdmi!! hiyo hakuna na ukiikuta usinunue!! these two deliver two different qualities! utakachokipata ni picha tu but quality haitokua ya high definition!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom