gambakuffu JF-Expert Member Jul 2, 2010 422 414 Jan 27, 2014 #1 Wanajamii msaada kwa yeyote mwenye habari au anauza gari aina ya cresta gx100 toyota make, nimeona bora nibadili usafiri.. Nauhusudu sana usafiri huu wa gx100 nawasilisha!
Wanajamii msaada kwa yeyote mwenye habari au anauza gari aina ya cresta gx100 toyota make, nimeona bora nibadili usafiri.. Nauhusudu sana usafiri huu wa gx100 nawasilisha!
IGWE JF-Expert Member Feb 3, 2011 9,463 7,387 Jan 27, 2014 #2 ninayo,..nicheki kwenye pm mkuu.....kama uko arusha njoo uicheki hata sasa hivi
kindboy Senior Member Dec 11, 2010 142 28 Jan 27, 2014 #6 mshana jr said: ipo gx100mark II USD 2500TU Click to expand... Ni ya mwaka Gani na iko wapi hiyo, weka picha basi tuone
mshana jr said: ipo gx100mark II USD 2500TU Click to expand... Ni ya mwaka Gani na iko wapi hiyo, weka picha basi tuone
lucky sabasaba JF-Expert Member Nov 6, 2012 1,656 1,203 Mar 9, 2014 #10 Inabidi wakati wa kwenda kuliona nenda na fundi kabisa
saimon111 JF-Expert Member Apr 5, 2012 1,736 1,352 Mar 9, 2014 #11 Ungependa gx110 ningekuachia kwa mil.6.5 hakuna dalali hiyo
M mkagulu original JF-Expert Member Dec 30, 2013 703 172 Mar 9, 2014 #12 saimon111 said: Ungependa gx110 ningekuachia kwa mil.6.5 hakuna dalali hiyo Click to expand... gari iko wapi nije niione?
saimon111 said: Ungependa gx110 ningekuachia kwa mil.6.5 hakuna dalali hiyo Click to expand... gari iko wapi nije niione?
M manrich Senior Member Dec 14, 2013 120 13 Mar 9, 2014 #13 Naomba kuiona hiyo gari au nipe no yako ili tuwasiliane zaid
saimon111 JF-Expert Member Apr 5, 2012 1,736 1,352 Mar 10, 2014 #14 mkagulu original said: gari iko wapi nije niione? Click to expand... Gari ipo mbezi beach mkuu......kama unahitaji kuiona au picha ni nitumie namba yako kwenye inbox yangu (pm)
mkagulu original said: gari iko wapi nije niione? Click to expand... Gari ipo mbezi beach mkuu......kama unahitaji kuiona au picha ni nitumie namba yako kwenye inbox yangu (pm)