pascal luoga JF-Expert Member Feb 23, 2019 232 257 Jul 2, 2022 #1 Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu... Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na Kigamboni Mji Mwema au maeneo ya Chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu... Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na Kigamboni Mji Mwema au maeneo ya Chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours.
Franky Samuel JF-Expert Member Oct 10, 2018 4,912 12,988 Jul 2, 2022 #3 Kuwa na akili mzee si uwaulize bodaboda ambao wanayajua hayo maeneo
dojonase JF-Expert Member Aug 10, 2017 1,673 2,227 Jul 2, 2022 #4 Njoo kisiwani hpa maeneo ya kwacheka pub ulizia kwa wakupaki guest imejificha iyo ni chaka la kula wake za watu
Njoo kisiwani hpa maeneo ya kwacheka pub ulizia kwa wakupaki guest imejificha iyo ni chaka la kula wake za watu
Rohombaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 13,056 10,342 Jul 3, 2022 #5 Dah......njoo Mtu na Mtu ukome kuringa Gest..ipo kisiwani kwa Mchina.......buku 5 tu.....🤣🤣🤣🤭
Lovelovie JF-Expert Member Oct 2, 2021 11,081 22,549 Jul 4, 2022 #7 pascal luoga said: Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu... Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na kigamboni mji mwema au maeneo ya chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours. Click to expand... Huu ujinga gani tena.... Umeambiwa sie wajumbe wa nyumba kumi
pascal luoga said: Wakuu natumai mu wazima wa afya ndugu zangu... Natafuta guest house ya bei rahc maeneo ya karibu na kigamboni mji mwema au maeneo ya chekechea ambayo gharama ni haizidi 15000 per some hours. Click to expand... Huu ujinga gani tena.... Umeambiwa sie wajumbe wa nyumba kumi
FK21 JF-Expert Member May 27, 2019 7,627 9,321 Jul 4, 2022 #8 Lovelovie said: Huu ujinga gani tena.... Umeambiwa sie wajumbe wa nyumba kumi Click to expand... Kumbe wewe mkorofi baby
Lovelovie said: Huu ujinga gani tena.... Umeambiwa sie wajumbe wa nyumba kumi Click to expand... Kumbe wewe mkorofi baby
Lovelovie JF-Expert Member Oct 2, 2021 11,081 22,549 Jul 4, 2022 #9 FK21 said: Kumbe wewe mkorofi baby Click to expand... Babe hapana mie mpole we mwenyewe unaelewa
FK21 JF-Expert Member May 27, 2019 7,627 9,321 Jul 4, 2022 #10 Lovelovie said: Babe hapana mie mpole we mwenyewe unaelewa Click to expand... Njoo basi PM
Lovelovie JF-Expert Member Oct 2, 2021 11,081 22,549 Jul 4, 2022 #11 FK21 said: Njoo basi PM Click to expand... Nakuja nakuja nakuja