- Thread starter
- #21
Asante mkuu kwa ushauri wako. Tatizo la vijijini wengi walikimbia umande! Sidhani kama watakuwa na vigezo vyote. Ila nitalifanyia kazi mkuu.Du mkuu hicho kipato chako kinawadatisha watoto wa kike sidhani kama utapata wa ukweli hapa ila cha kukushauri tembelea mikoani vijijini kuna mabinti wazuri sana kwa kuoa hawa wa mijini wengi magumashi