Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

Natafuta girlfriend anayejiheshimu na mkweli

Mimi nikijana
mtanzania naishi dar nipo singule umri 28 natafuta girlfriend anae
jitambua na kujiheshim awe muislam na mkweli na muaminifu mungu akipenda
tufunge pingu za maisha naomba tuwasiliane kwa pm 0689251011
/0766755508

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

hizo no akudip au? maana kupiga ni kinyume taratibu
 
Duuh jamani kumbe hujampata tu mchumba hadi leo?? Mungu atakusaidia, utampata tu
 
kuna demu flani hivi alikuwa demu wangu mda mrefu tu ila tumeachana kwa sababu nilichepuka akajua...ila yuko vizuri ana vigezo vyote na muislam swafi anamiaka 26 hv...km unataka mawasiliano naye niambie nikuinbox bado yupo single naendelea kuchat naye lakini si wapenzi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom