Natafuta gari ndogo ya kutembelea

ninayo suzuki ina 660cc very economic ya mafuta inaenda kilometer 20 hadi 25 milango 5
 
Mkuu,
Nakushauri usiwe na hulka ya kununua gari kwa Wabongo. Utalizwa. hata hivyo kama imekulazimu kufanya hivyo na kwa vile unahitaji gari dogo ni vizuri upate Duet and Vitz au IST, hapa nina maana ya TOYOTA product.
Kuhusu bei, tafadhali usikubali kununua gari ya aina moja wapo hapo juu inayozidi 6m. Ikizidi 6m ni afadhali uagize mwenyewe Japan and will cost you estimate ya 7.8 hadi 8.2 ( But this time at your own choice and preference)
Kumbuka single user vehicle ni poa kuliko multiple users.
Take Care


OPTION YA KUAGIZA: Kabla hujaamua kuagizanNenda kwenye Website ya TRA kwanza, wameainisha Kodi mpya za Uingizaji Magari........Babadua kwanza otherwise utaacha gari bandarini..........Mnwele ana data zza zamani kidogo.

Used Vitz Kwa kweli kwa uchee from Japan si chini ya a12million.
 
kuna barun six (Mark II white) nataka 4mil bado ipo katika hali nzuri. gari ndogo siyo dili mzazi.
 
rejeeni kichwa cha habari.natafta gari ndogo, swift, duet, vitz, strlet n.kza type hiyo.sema fasta kama ipo.
ninazo mkuu. NISSAN MARCH YA 2000, 2002, PEUGEOT 306 YA 2002 NA ZIKO BOMBA. NISSAN YA 2002 NI MANUAL TRANSMITION. ZIKO ARUSHA. PM kama vipi.
 
OPTION YA KUAGIZA: Kabla hujaamua kuagizanNenda kwenye Website ya TRA kwanza, wameainisha Kodi mpya za Uingizaji Magari........Babadua kwanza otherwise utaacha gari bandarini..........Mnwele ana data zza zamani kidogo.Used Vitz Kwa kweli kwa uchee from Japan si chini ya a12million.
uko sahihi mkuu. Waeleze kama siku hizi ushuru tunakokotoa tofauti na si kama zamani. M7 ni ya kununua simu na si gari tena.
 
Niliona gari yenye specifications kama hizi kwenye web ya tradecarview, Japan nikaipenda i

Daihatsu Hijet Cargo 2003

TransmissionManual

Drive Type 4WD
Options: A/C:front / Power Steering / AM/FM Radio
Odometer202,200 km at Japan
Displacement 650cc.
US$ 1890 ! < dar es salaam > (CIF)


Tatizo langu ni aina ya gari je ni mazuri aina hiyo? wazoefu wa
magari please msaada tutani, maana nimeona comments za
watu wanasisitiza kuwa yawe aina ya Toyota kama angalizo.

 
Back
Top Bottom