Natafuta gari ndogo-naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta gari ndogo-naombeni ushauri

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Sendeu, Jan 25, 2012.

 1. S

  Sendeu Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 29, 2009
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau
  nisaidieni ushauri nataka kununua kagari kadogo kwa ajili ya mishemishe za hapa mjini nishaurini kweye haya magari ni lipi durable na economical na upatikanaji wa spea kwa bei nzuri
  1.NISSANI MARCH
  2.VITZ
  3.SUZUKI SWIFT
  4.TOYOTA STARLET
  asanteni naombeni mawazo yenu wana JF hasa toka kwa wataalam wa magari au wanaotumia magari hayo.
   
 2. roby2006

  roby2006 JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Namba nne itakufaa zaidi
   
 3. k

  khashdz Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 5


  kama unanguvu mdau mi nakushauri VITZ hizi gari gari zipo economy sana katika wese.
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Mkuu hii si itakuwa ya zamani? Kwani technology ya wajapani wanabadili sana nafikiri Vitz ni nzuri .
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa ushauri wangu!ni bora ukanunua Toyota Corolla!ni durable na haitakuboa!ukitaka kuuza unauza fasta!engine vvti cc 1300,uta enjoy life!mafuta ya buku 10 unapiga misele ya kufa mtu.
   
 6. D

  Dedii Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  vitz mkuu itakufaa. tafuta cc chini ya 1000 maana zipo na za 1300. wala usihangaike kwingine.
   
 7. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  achana nazo zote hizo. nunua Honda Fit. Fanya search kwenye mtandao (goggle - compare Honda Fit, Toyota Vitz, Suzuki Swift. au andika users' review kisha andika hizo gari. ) utajua nani zaidi kwa kila kitu....usifate mkumbo wa kujaa kwa Toyota mitaani
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,471
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  mkuu honda ni nzuri inapofika swala la spea wachaga wanasema
  noshaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  mwenye macho na aone asema KIM DIDY II
   
 9. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu niPM nikupatie gari aina ya Toyota Passo 2004(engine ni kama ya Vitz).
  Bei maelewano
   
 10. M

  MARTINE KAHEMA New Member

  #10
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont bother comrade, go to any cars show room, God will discuss with you what is the best car for you there
   
Loading...