Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,291
- 68,838
Islamic banking haina tofauti na hizi za makafiri Tu.Mko
Mkopo wa benk za kiislamu haujatimiza masharti ya mkopo wa kiislamu. Kwa sababu mkopeshaji sio mwenye kumiliki mali anayoikopesha. Kwahiyo zile ni riba zilizojificha kwenye kichaka cha faida.
Wao watakwambia tutakupatia Mali bila riba wewe utarejesha kiasi hicho hicho, lakini kwenye kukupa hizo mali wameshajumlisha 15% yap, so ni lugha tu