Biashara ya gari dalali hana tatizo biashara inafanyika vizuri tu anapewa commission yake na muuzaji.Wakuu habari za humu ndani nahitaji kununua gari Hurrier model ya zamani.. kidogo ikiwa na matunzo bora..
1.iwe na utumiaji mzuri wa mafuta
2. Isiwe imewahi funguliwa injini..
3. Iwe na rangi nyeusi..
4. Ikiwa mmiliki na mtumiaji ni mwanamke naipa kipaumbele zaidi..
5. Nipo dar malipo ni papo kwa papo
6. Itakuwa vema endapo nitaipata kabla ya hii january kumalizika..
kwa aliye nayo tafadhari PM.
NB; huwa sifurahishwi na mikono ya madalali..
ahsanteni.
Weka ofa yako au nitumie kule Pm...Usithubutu kamwe kununua VOXY! Kama unataka Harrier au gari nyingine nitumie ofa yako kule pm then nitakushauri! Gari nazielewaTafadhari mwenye nayo anipigie kwa namba hii +255752995192 ni serious business.
Mkuu mbona gari umeificha kichochoroni?
VVTI engine haifai kabisa,ni pasua kichwa kila kitu umeme na bongo mafundi wa hizi machine ni wachache na wakubahatisha,kingine bodi yake hainyoosheki,namaanisha hata ikinyooshwa shape yake haiwezi kurudi so nadhan ungechukua ushauri wa mkuu hapa.Kwanini mkuu.?
Sikushauri ununuwe voxy.
Kwa nn mkuu nipe sababu maana nami nataka kununua voxySikushauri ununuwe voxy.
Kubadili plug huhitaji kufungua injini nzima nzima. Unanyofoa tu plug chovu na kuweka mpya hata bila kugusa kingine chichote!2. isiwe imefunguliwa engine?? sasa kama plugs zilichoka zikahitaji kubadilishwa kwa nn engine isifunguliwe??
Hizi kauli za kijiweni(am sorry to say ths bro) hivi VVTI ni engine mbaya?!wewe ndo wa kwanza nakuckia mkuu!Nimekuwa na gari za vvti engine kwa takribani miaka nane sasa na cjaona tatizo!!suala la kutonyoosheka labda sehemu iliyopata madhara ni fiber au plastic,ambayo huwezi kuinyoosha km bati,ni aidha u replace au lishonwe kimtaani mtaani!Kurudisha shape ya gari km ilipata ajali ni kazi ya fundi na vifaa vyake,wataalam wakichina wamejaa mjini hapa wanaujuzi na vifaa pia,sasa peleka hilo gari lako unaloona shape imegoma wakufanyie mambo ndo utaamini kuwa unachoongea ni story tu!!VVTI engine haifai kabisa,ni pasua kichwa kila kitu umeme na bongo mafundi wa hizi machine ni wachache na wakubahatisha,kingine bodi yake hainyoosheki,namaanisha hata ikinyooshwa shape yake haiwezi kurudi so nadhan ungechukua ushauri wa mkuu hapa.