Mpauko
R.I.P
- Jan 19, 2019
- 2,323
- 3,463
Niaje..
Natafuta gari aina ya Toyota Surf iwe nzima kabisa ofa yangu ni mil 15 nakuja na fundi wangu...
Iwe ma hali nzuri kuanzia siti, body hadi engine...
********* ********* ********
Baada ya kumaliza kuadika thread hii nikatoa mihogo yangu mitatu ya kuchemsha nikashushia na maji..
Nikaegesha vizuri bati mlangoni mwa chumba changu, nikaegesha ubao kushikilia bati mlangoni, nikasogeza mawe na kuhakksha mlango huu upo imara.....
Nikatafakari nitakula nini kesho? Nikapuuia mawazo haya nikakung'uta vumbi katik matandiko na kuanza kuusaka usingizi.
Umasikini huu!