Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series.

J

JAY-JOE

Member
Joined
Sep 2, 2016
Messages
18
Points
45
J

JAY-JOE

Member
Joined Sep 2, 2016
18 45
Habari za leo

Natafuta gari aina ya Toyota Crown Athlete series

Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2007

Engine isizidi 2500Cc

Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa ninasafiri kwenye barabara zenye vilima korofi na zenye utelezi.

Bei yake iwe rahisi na sihitaji dalali.

Kama kuna muuzaji wa magari mwenye gari yenye sifa hizo hapo juu aje PM tuwasiliane!
 
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
4,970
Points
2,000
Mjamaa1

Mjamaa1

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
4,970 2,000
Chukua mnyama huyo mkuu, hutojutia. Ila hata Mark X ni kiboko pia
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
2,655
Points
2,000
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
2,655 2,000
Ukisema bei rahisi utaletewa kimeo kama vipi jichange vizuri usiwe na haraka sana ya kumiliki hiyo,
Nimetokea kuipenda sana hiyo ndinga ndiyo maana nimeamua kujichanga mdogomdogo ili niuze carina yangu niongezee pesa ya kumiliki mashine ya crown
 
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
3,816
Points
2,000
Mad Max

Mad Max

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
3,816 2,000
Siku hizi zinauzwa hatari.

Kwa ilio safi andaa Mil 10 hadi 13.
 
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
8,360
Points
2,000
Lyamber

Lyamber

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
8,360 2,000
Ukisema bei rahisi utaletewa kimeo kama vipi jichange vizuri usiwe na haraka sana ya kumiliki hiyo,
Nimetokea kuipenda sana hiyo ndinga ndiyo maana nimeamua kujichanga mdogomdogo ili niuze carina yangu niongezee pesa ya kumiliki mashine ya crown
Ila mkuu kutoka kwenye Carina hadi Crown lazima utafeel pinch aisee
 
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,368
Points
2,000
joshua_ok

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,368 2,000
Ukiwa huna hela unaona wenye nazo wanazitumia vibaya
Mwenye hela ananunua Crown ya 2000 USD? Sasa anaenunua BMW 7 Series 81,000 USD Huyo asemeje? Mind u zote ni Sedan.
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
15,997
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
15,997 2,000
Mwenye hela ananunua Crown ya 2000 USD? Sasa anaenunua BMW 7 Series 81,000 USD Huyo asemeje? Mind u zote ni Sedan.
Hizo bei umezitoa wapi boss?

Kule Be forward minimum price ya Crown athlete 2004 model ni $4077 wkt bmw 7 series model ya 2005 minimum price wanauza $3,605.

Tena sijataka kulinganisha na crown majesta za miaka hio hio ambazo ni expensive kuliko hio bmw 7 series za miaka inayofanana.

Resale value za bmw/mercedes ni sawa na bure.

toyota majesta 2019 price yake kwa zenye Cc2500 ni $ 66,700 wkt zenye cc3500 ni $69,700

Bmw 7 series 2019 price yake:kwa 740i ni $83,650 na kwa 750i ni $96,950.
 

Forum statistics

Threads 1,326,424
Members 509,499
Posts 32,221,559
Top