Natafuta garage nzuri ya kutengeneza a.c za magari

Natafuta garage nzuri ya kutengeneza a.c za magari

Mkuu,

Nenda pale Kinondoni makaburini opposite na mgahawa wa Manhattan kuna vijana pale wanalamba matatizo ya AC kama mchezo. Hawana longolongo unasubiri gari yako unaondoka nayo na hawana tamaa ya kucharge hela nyingi sana. Kawajaribu.

Tiba
Pole Tiba, nilisikia mkeo alifariki.
 
Back
Top Bottom