Natafuta fundi mzuri wa suruali mwenye kuzingatia muda na kutunza ahadi. Awe ubora wa kazi. Asiwe mtu wa kufiwa na kuuguliwa au kuugua kwa kusingizia. Kama unamjua mwenye sifa hizi nipe contact yake hapa au ni-pm. Pesa sio issue, niko radhi kulipa premium kwa quality zilizotajwa hapo juu. Asante waungwana na wiki njema.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hiyo suruali yako imetoboka unataka ipigwe kiraka? Au fupi unataka irefushwe, au kubwa ipunguzwe, au inakubana iongezwe unene?
Kuna mafundi wa kushona nguo wa kutoka Peramiho mitaa ya St.Peters - Oysterbay...!