Natafuta fundi wa simu hardware akiwa na ofisi,tusaidiane mimi ni wa software

fredj2

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
235
93
nipo dar
kama wewe ni fundi wa simu upande wa hardware,lakini uwe na ofisi mimi nije nifanye kazi ya software.
vifaa ni vyangu kwa software...
mapato ntatoa nusu ya kila lipo ntakalofanya kazi ntakupa fundi (ofisi yako).
kwa dar tu..0657124173
call
 
Back
Top Bottom