Natafuta Fundi wa Plaster

Natafuta Fundi wa Plaster

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau,

Mchakato wa ujenzi bado unaendelea.

Nilikua nahitaji fundi mzuri wa plaster. Kama una fundi aliyekufanyia kazi nzuri, nitashukuru kama utanipa namba yake.

Ujenzi upo hapa Dar.

Natanguliza shukrani.

Ram
 
Huyu Musa...mzuri mno kwenye kazi za kumalizia....
0713 581041
0784 837571
Cheki nae...sidhan kama anajua kuhusu JF....ila ni fundi mzuri mno kwenye plastering na kuweka archs za nyumba.
 
Huyu Musa...mzuri mno kwenye kazi za kumalizia....
0713 581041
0784 837571
Cheki nae...sidhan kama anajua kuhusu JF....ila ni fundi mzuri mno kwenye plastering na kuweka archs za nyumba.

Kaka, ashukuru sana!
 
mchek huyu jamaa anaitwa Julius ni fundi mzuri sana 0782792304
 
or 0782792304 or 0717339335 Julius jamaa amenifanyia kazi yangu vizuri sana na hana bei kubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom