Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:-
i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia
ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond.
Nitashukuru kwa msaada wenu wana nzengo