Natafuta fundi wa computer

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
844
1,102
Natafuta fundi wa computer,my pc ina tatizo,inahitajika motherboard mpya,aina ya motheboard inaitwa ASROCK G31M-S MOTHERBOARD,msaada Wakuu,kama yupo ani PM,asanteni
 

Amoeba

JF-Expert Member
Aug 20, 2009
3,292
763
Kwa hiyo unahitaji FUNDI au MOTHERBOARD?
Angalia ustaarabu wa kununua computer nyingine mkuu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom