PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Kwema?
Fundi anahitajika wa kunichekia printer yangu, siku nyingi haijatumika imejaa vumbi. Pia power cable yake pamoja na usb cable vimepotea hivyo mwenye navyo tuongee.
Aina ya printer ni kodak esp-3. Nipo dar, huduma ya haraka inahitajika.