Natafuta fundi mzuri wa plaster ya nyumba

rodgers123

Senior Member
Jul 12, 2015
159
125
Habari ndugu,

Kama kuna mtu ambaye anamjua fundi mzuri wa nyumba naomba
anipatie namba ya fundi.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom