Natafuta Fundi anaye weza kuflash galaxy s Morogoro

Kkimondoa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2014
Posts
4,452
Reaction score
4,938
Nina sim yangu nimetumiwa ilikuwa inatumika nchi jirani sasa haiwezi kusoma line ya mtandao mwengine msaada tafadhari inataka mtandao wa nchi hiyo tuuu!
 
Huyu mwarabu mwizi tu.
Huyu ni Mhindi na si Mwarabu.
Jambo la pili ni kuwa angekuwa mwizi asingepigisha foleni dukani kwake.
Ni kijana muelewa na muungwana sana na pale anapoona shida ya simu yako ni ndogo (kwa uelewa wake) mara nyingi hachaji kitu.
Kwa mfano wengi wananunua smartphone bila kuwa na uelewa wa kutosha na setting peke yake zinawatesa,Adili hutengeneza bure.
Adili anakupa hata technical advice na kwa Morogoro ndiyr pekee anayeshughulika na simu za bei kali.
 
Ha ha ha haa....ushaliwa wewe sema hujui kama umeliwa. Kama huna mautundu ya OS za simu huwezi jua wizi wake. Ishu ndogo tu kama kitkat bugs anacharge more than 50k, boot loop (ambayo hata ukiingia youtube unaifix mwenyewe) anacharge 50k. Sio wizi huo? Kutumia ignorance ya mteja kumbambikizia bei kwangu ni uwizi mweupeee.
 
Sasa nimeelewa.Una knowledge kuhusu haya mambo.
Kwetu sisi ambao hatuna knowledge hiyo priority number ni problem kuwa solved.
If that is the case why not open an office at Morogoro and charge low fees?
 
Back
Top Bottom