Natafuta fremu maeneo ya Kimara

Diwani

JF-Expert Member
Oct 25, 2014
2,672
2,696
1. Iwe mitaa ya karibia na Ubungo; isizidi kimara Korogwe kutokea Ubungo.

2. Eneo liwe linafaa kwa biashara ya Saluni ya kiume. Mtaa uwe umetanuka (Uswazi)

3. Bei iwe rafiki, 60k TZS (Kama zaidi tunawasiliana)

4. Isiwe chumba kikubwa sana. (Size ya fremu ya duka dogo-Kawaida)

Ikiwemo nicheki 0712849917.... Tuongee Vizuri.

Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom