Msaada: Fremu ya duka maeneo ya Mbezi Luis au Kimara zinapatikana kwa bei gani?

Shida sio bei, shida ni kuipata,
Na pia frame hazina bei flat, nyumba hii wanapangisha 100, next nyumba laki 2,

Ila kwa hayo maeneo andaa laki na kuendelea, inaweza fika hata 500, ina depend na place tu
 
Pita jiji tanzania na kwa madalali wanaopost fremu maeneo hayo itakuwa rahisi kufanya tafiti.
Ila fremu za barabarani hasa zilizouma lami ni gharama last year zilikua 150K+ na inategemea na mzunguko wa watu mahali unapohitaji.
 
sawa mkuu nataka senta inzuri nijiegeshe ndio maana nauliza maana uku me nimgeni alafu sitaki kutafuta kwanza madalali
Mkuu kupata frame nzuri, tena kwa mgeni na maeneo hayo, hukwepi madalali, mana wao ndo wana details chumba kipi hakina mtu, unless kamvue mtu mwenyewe
 
Back
Top Bottom