BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,837
Habari zenu wadau,
Ningependa kujua kuna ipi ya jirani zetu wakenya wanaitumia kwaajiili ya discussions mbali mbali kama sisi ambavyo tunaitumia jamiiforums hapa Tanzania.
Asanteni sana