Natafuta fellow members tukapumzishe akili

are you game? Inatakiwa tuwe idadi ya watu 10. Ili kuwe na gender balance itatikiwa kua 5/5
usafiri tayari upo. Hakikisha una pesa sio chini ya 1 M. uwe athletic na ready
to do crazy things
. Hio safari itafanyika ndani ya siku 4. madawa ya kulevya hayaruhusiwi labda bangi tu!
Hio safari itahusisha urefu kiasi na maeneo ya asili. hizo sehemu zina vi lodge vya kumpuzikia
na viukumbi vya kupumzikia kama wahitaji. Starehe nyingi zitafanywa zaidi zikitegemea creativity.
maeneo hayatatajwa kuepusha maombi mengi wale tutaoenda ndio tutajua. Usiwe boring tafadhali.
simu zenye uwezo wa internate hazitaruhusiwa za vitochi tu sababu safari imelenga mapumziko.
hadi ya jf. mambo mengine muhimu tutajadili team husika ikikutana.

nawatakia trip njema,msisahau kuwa makini.
 
mwe wengne ofisi hazindi bila kutumia internet bila hii kitu miradi itagoma kabisa na hvyo kwa siku 4 na katochi miradi itayumba plus hii ku abuse dozi ya jf ambayo imeleta uteja nitoe tu.
 
I know sweety, miss you too. Nimeona yule mtu wetu kamuboa, tema hapa nimchape.




Wewe ndio Sweetheart wake? mbona wavamia ugenini???
Haaa sasa mbona wife huwa ananiita Sweetheart km sio mimi?
Ngoja ntamuuliza km sio mimi ntakuja ku-UNDO
 
Hahahaaaaaa ila sio kila wakati....km mwanaume ndo anaita siwezi shituka maana hao ntakuwa wrong kabsaa
Haya bwana, nimekuelewa. But when Kabakabana quotes me and says "Sweetheart" I think it's pretty obvious that she means ME and not YOU... lol
 
Mkuu nipo tayari na hela ipo . Niambie ni nini una plan kwa pm . Nimependa hiyo gender balance inalekea kutakuwa na mambo mazuri.

Hata mie mambo mazuri nimeyaona pamoja na kwamba kubokoana haitaruhusiwa. Yaliobaki nje ya mikito yako poa sana au vipi Bucho?
 
Waooo. Sounds fun ...
Kama muda unaruhusu ningekuja ..
mwezi uliopita mi na marafiki zangu tulifanya
Road trip... raha tupu .. furahieni ...
 
vp mbona hakuna utaratibu unaeoendelea ? au ilikuwa changa la macho ?
 
Back
Top Bottom