Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 884
Kwani kuna kufanya ile mambo?
Lol
Km vipi kila mtu aje na wakwake
Na roommate wangu ila sio kwa nia ya kufanya ile mambo.E52 unataka kuja na nani?
Kwani kuna kufanya ile mambo?
Lol
Km vipi kila mtu aje na wakwake
Raha kuwa na wangu niliyemzoea......Ngoja kwanza nikaongee naeWe kacheck kwanza hao partners wenyewe kama wanalipa.
Hahahaaaaa ngoja kwanza tukajadili kifamilia then mtatuona huko juu kwa juu km mtakujaNa roommate wangu ila sio kwa nia ya kufanya ile mambo.E52 unataka kuja na nani?
Hahahaaaaa ngoja kwanza tukajadili kifamilia then mtatuona huko juu kwa juu km mtakuja
Hata nikichukua BUMU mara mbili bado haitafikia hapo, jamani ninyi mwende kwa amani kabisa...
Aisee u must be very faithful to her n she must b very lucky to hv u, keep it up hommie..Raha kuwa na wangu niliyemzoea......Ngoja kwanza nikaongee nae
Umeonaeeeeh..Haka kauwekezaji katika kula bakhta nimekapenda,sijui niombe likizo fupi??
Hahahaaaa upeleke kwa makini maana hukawii kudundwa mtoto wa kiume kuwa huko unakotaka kuna agenda ya siri ukiangalia vigezoNgoja nikapeleke muswada ukipitishwa na mimi nimo.
We are faithful to each other.....hahahaaAisee u must be very faithful to her n she must b very lucky to hv u, keep it up hommie..
Umeonaeeeeh..
Hahahaaaa upeleke kwa makini maana hukawii kudundwa mtoto wa kiume kuwa huko unakotaka kuna agenda ya siri ukiangalia vigezo
Embu mcheck kama vpi! Million siunayo tayari lkn??Saaana!!Halafu nilifikiria kumuomba yule dada ambaye kwenye avatar yake amesuka rasta halafu anatokea A-city aje na kitu cha Arusha b'se kimeruhusiwa hapo juu.Sijui atakubali??
Ina maana roommate wako ni jinsia tofauti?Roommate wangu mzungu hana noma.
Aisee itabidi tukutafute chief utupe hayo maujafanja..We are faithful to each other.....hahahaa
Weekend uje nikupe siri ya mafanikio kijana wangu....
Tena kama Bagah akiwa amerudi uje nae maana somo litamuhusu sana
Aisee itabidi tukutafute chief utupe hayo maujafanja..
Duu!!! Haya bwana ila sina record nzuri sana na mashemeji..Karibu sana ila hata ukinikosa hope shemeji yako atakusaidia kwa kuwa ndo msaidizi wangu....we mtafute hata kwa muda wako akusaidie