Natafuta fellow members tukapumzishe akili

Neiwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
728
633
are you game? Inatakiwa tuwe idadi ya watu 10. Ili kuwe na gender balance itatikiwa kua 5/5
usafiri tayari upo. Hakikisha una pesa sio chini ya 1 M. uwe athletic na ready
to do crazy things. Hio safari itafanyika ndani ya siku 4. madawa ya kulevya hayaruhusiwi labda bangi tu!
Hio safari itahusisha urefu kiasi na maeneo ya asili. hizo sehemu zina vi lodge vya kumpuzikia
na viukumbi vya kupumzikia kama wahitaji. Starehe nyingi zitafanywa zaidi zikitegemea creativity.
maeneo hayatatajwa kuepusha maombi mengi wale tutaoenda ndio tutajua. Usiwe boring tafadhali.
simu zenye uwezo wa internate hazitaruhusiwa za vitochi tu sababu safari imelenga mapumziko.
hadi ya jf. mambo mengine muhimu tutajadili team husika ikikutana.
 
Mkuu nipo tayari na hela ipo . Niambie ni nini una plan kwa pm . Nimependa hiyo gender balance inalekea kutakuwa na mambo mazuri.
 
Mkuu nipo tayari na hela ipo . Niambie ni nini una plan kwa pm . Nimependa hiyo gender balance inalekea kutakuwa na mambo mazuri.

Mambo yatakua mazuri na tunahakikisha tumeweka mazingira ya kuepuka vikwazo. Kuna kigezo kingine cha muhimu nimesahau. ni muhimu kupima na magonjwa yote ambayo ni STDs.
 
Count me in! BUT hapo ulipouliza "are you game?" ulikuwa na maana gani?

Kua sio moja ya wale ambao group zima mna idea fulani ya kufurahia maisha then wewe peke yako ndio wakataa. Ofcoz hatuwezi kukulazimisha ila utatuboa!
 
idea imekaa njema sana!..kikwazo kwa wengi nahisi itakua mkwanja zaidi...mkuu think of reducing the fee!
 
Mambo yatakua mazuri na tunahakikisha tumeweka mazingira ya kuepuka vikwazo. Kuna kigezo kingine cha muhimu nimesahau. ni muhimu kupima na magonjwa yote ambayo ni STDs.

kwa heshima na taadhima naomba uniweke ndani. Ila swala la kupima sio zuri saaana labda kama ni kupima uzito.
 
idea imekaa njema sana!..kikwazo kwa wengi nahisi itakua mkwanja zaidi...mkuu think of reducing the fee!
Sio mkwanja dogo....muda wa kukaa siku 4....labda iwe wakati wa Pasaka.....zile siku kadhaa
 
Mambo yatakua mazuri na tunahakikisha tumeweka mazingira ya kuepuka vikwazo. Kuna kigezo kingine cha muhimu nimesahau. ni muhimu kupima na magonjwa yote ambayo ni STDs.
Ni place gani mwatarajia kwenda??
 
Hata nikichukua BUMU mara mbili bado haitafikia hapo, jamani ninyi mwende kwa amani kabisa...
 
Mambo yatakua mazuri na tunahakikisha tumeweka mazingira ya kuepuka vikwazo. Kuna kigezo kingine cha muhimu nimesahau. ni muhimu kupima na magonjwa yote ambayo ni STDs.
Kwani kuna kufanya ile mambo?
Lol
Km vipi kila mtu aje na wakwake
 
aisee kumbe na huku iko hiyo michezo...unanikumbusha Gisenyi...ngoja niombe ruhusa nijiunge katika "Game"
 
Back
Top Bottom