Natafuta engine ya Suzuki

Natafuta engine ya Suzuki

Don Mangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
2,199
Reaction score
855
wanajamvi habari zenu?
Natafuta engine ya suzuki, old model Sierra 5 speed zile kama za mahakimu, kwa mwenye nayo naomba ani pm na bei yake na mahali alipo lakini ni vizuri zaidi kama ikipatikana Dsm, Moshi au Arusha.
 
Back
Top Bottom