emavalery
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 628
- 1,252
Hello JF,
Poleni sana na majukumu yenu ya kujenga Taifa, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nina tafuta electronic weighing scale tatu, zenye uwezo wa mpaka 150kgs, kwa yeyote au mwenye connections.
Uwe tayari, kunipa proforma invoice mapema na kabla kesho haijaisha tufanye biashara.
Karibu inbox, au tumia 0743051733 kunifikia.
Note: Kwa Dar Es Salaam.
Asanteni sana.