Natafuta display ya not 20 ultra

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,709
1,809
Kwa yeyote alie na kioo cha samsung not 20 ultra ninahitaji na bajet yangu ni 300,000 tsh.
 
Tayari...
JamiiForums891084758.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulipigwa pa kubwa
Huwa sipendi kubishana.

Twende kwenye hicho cha bei yako, kikiwa ni super AMOLED chenyewe na hakina dot kama vile vya alixpress, wala kisiwe famba za kariako baada ya mwezi inakua haitouch upande, utachagua kitu chenye thamani kubwa kuliko vyote hapo dukani, ikiwa otherwise, hiyo simu yako tunaipiga nyundo hapohapo dukani na kila mtu atashika njia yake.
 
sidhani kama jamaa ata accept hii challenge ya kibabe namna hii.
 
Kama ulitoa hela hiyo kwa note 8 kununua kioo you could be sick!
Naassume una akili timamu kwahyo nitakujibu kama ninamjibu mtu mwenye akili timamu.

Hiyo simu unayotumia, kariakoo ipo ya namna hiyo yenye bei theluthi moja ya bei ya genuine. Chaguo ni lako.

App za Twitter, Facebook, Instagram, Tiktok n.k zipo hizo unazozijua, zipo na lite zake, chaguo ni lako.

Discovery (gari) unazoziona hapa mjini, nyingi zimetoka south, wahindi wanazo zakwao na zipo za Slovakia, kama unadhani zote ziko sawa kazi ni kwako.

Kuna note 8 za mpaka laki 2 na 30 zipo pale discount, china plaza. Kazi ni kwako.

Bottom line: Lete kioo genuine hapa cha note 8, kisicho na dot, kama risiti yake itasoma chini ya 320k nitalipa mara tano ya bei uliyonunulia. Ikiwa vinginevyo uwe tayari pia.
 
Kununua kioo kwa 320K kwa simu nzee kama note 8 ilhali ungeweza tu skip to newer models ndo maana nikasema unaweza kuwa mgonjwa...

Anyways... best of lucky with your illness!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom