ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Habari wana jf nahitaji dereva mzuri na mzoefu wa kuendesha pikipiki (bodaboda) aina sunlg kwa kufanya nae biashara hiyo ya ambaye ni kijana mdogo mccheshi, mwenye kuvutia wateja, mkarimu, mwaminifu, mcha Mungu anayeipenda kazi yake na kuijali hasa kifaa cha kazi yake na awe mtunzaji awe anatokea maeneo ya Kinondoni hizo ndo sifa atakiwazo. Kwa anayehitaji awasiliane nami, awe na leseni ya chombo hicho cha pikipiki, awe tayari mimi nipajue anapoishi ili kulinda usalama w achombo changu na yeye pia kama kutakuwa na matatizo yeyote.
awasiliane nami kwa email hii:nikprintgraphics@yahoo.com
awasiliane nami kwa email hii:nikprintgraphics@yahoo.com