- Thread starter
- #21
Asante.Wasomi wa Tanzania bhnaa ! Yaan chenga kinyama, ! Huyo mtoto wako sijui ni kiazii aisee! Amekufanya nawewe mzazi mtu uonekane kinumbu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante.Wasomi wa Tanzania bhnaa ! Yaan chenga kinyama, ! Huyo mtoto wako sijui ni kiazii aisee! Amekufanya nawewe mzazi mtu uonekane kinumbu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameletewa maana hawezi kuzipata huko alipo. Samahani kwa usumbufu.Aiseee........sasa tukikupa majibu humu ukaenda kumpa mwanao....hapo atakuwa ametafuta data au ameletewa data,,!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mtoto hakupenda kufanya huu utafiti ila prof. wake kamsahauri kama siyo kumlazimisha afanye huo maana anatoka Tz.Sasa jamani hebu tuwe wenye kutumia akili walau kidogo. Mtu anafanya research na hajui data za research zake atazipata wapi? Nina mashaka sana kama hata huo utafiti anafanya yeye kama siyo kufanyiwa! Hakujiandaa kufanya utafiti?
awatafute ktk simu watu wa mamlaka ya hali ya hewa zipo au amtumie mtu si wapo aliosoma nao akimtuma mtu atamwendea directyupo nje ya nchi na anahitaji kufanya research ya mwisho wa kumaliza masters mkuu. Inabidi apresent mwisho wa march.
Mkuu asante sana nipo nje ya nchi na mimi ila nitajitahidi kutuma ndugu waende wamsaidie mwanao/mdogo wako kupata hizo data.Mwambie mwanao aende Mwanza ofisi za Bonde la Ziwa Victoria au kama yupo DAR aende Dodoma. Pale aende Idara ya Rasilimali za Maji.
Data zikikuwa Ubungo Maji ila wamehamia Dodoma.
Wana vituo baadhi ya mikoa ambayo wanakusanya data sio hourly tu. Ila hata baada ya kila dakika 5 kwa 24 hrs kwa mwaka mzima. Hizo data kama kituo kipo kigoma zilikuwa zinatumwa kila baada ya dak 12 kwenye server Ubungo Maji. Nakumbuka vituo vilikuwa 66 kwa kuanzia nchi nzima. Ni weather platforms za hali ya juu sana Wizara ya Maji kupata.. Vituo vinatumia solar na vilituma data vyenyewe. Baadhi ya data zilizotumwa ni mvua, max/min temp/vipimo kuhusu jua/ upepo/pressure/. Mashine zilikuwa configured kutuma kila baafa ya dak 12..
Kwa mfumo huo hawezi kupata data mpaka 2019 kwasababu uamuzi wa kuhamia Dodoma ulitibua mfumo wote, kulikuwa hakuna jinsi.
Kwani lazima atumie za Kagera. Angecheki wapi data zipo kwanza ndo angeenda msituni.
Data ni bure awaone wahusika. Aende na barua ya kuomba data aione Director Water Resources, aandike kifupi ni kwanini anataka hizo data.
M
Ukikwama mtafute nwenye post #9 inaekea anajua hii habari ya data
Anzia huko halafu aendaeTMA nako kuna changamoto kibao.
Kuna watu inaelekea hawako well informed Unakuta mtu anashangaa eti kwa nini mtu unauliza data JF.
JF kuna ma GURU wengi wako humu, na wapuuzi wanaouliza maswali kama hayo wapo pia wanaodhani wanajua kila kitu.inabidi wabebwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo data kuzipata ni rahisi sana,cha msingi mhusika anatakiwa awe anaweza kutumia software ambazo ni free toka FAO. Software hizo niWana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini. Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.
Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.
Ndiyo yupo nje ila ana uchungu wa nchi ndo maana anafanya hivyo. Kama unapenda nchi yako msaidie.Sasa jamani hebu tuwe wenye kutumia akili walau kidogo. Mtu anafanya research na hajui data za research zake atazipata wapi? Nina mashaka sana kama hata huo utafiti anafanya yeye kama siyo kufanyiwa! Hakujiandaa kufanya utafiti?
Kumsadia nitamshauri ajaribu kupasha kichwa chake moto ili ajue data za aina hiyo atazipata wapi. Kutafuta data na kujua utazipate na wapi ni sehemu ya reseach! Yeye hakuwa na uwezo wa kuulizia kama ulivyofanya wewe? Mtu anaandika thesis ya masters kweli kweli bado analia ''mama mama nisaidie''?Ndiyo yupo nje ila ana uchungu wa nchi ndo maana anafanya hivyo. Kama unapenda nchi yako msaidie.
Mkuu nipo naaza kufuailia nashukuru kwa ushauri. Nipe muda nitakupa feedback Mwanangu yupo italy na hii kapewa sababu wanajua yeye anatoka Bongo. Ameanza ku google nitakupa mrejesho. Thanks a lot.Hizo data kuzipata ni rahisi sana,cha msingi mhusika anatakiwa awe anaweza kutumia software ambazo ni free toka FAO. Software hizo ni
1.CLIMWAT is a climatic database to be used in combination with the computer program CROPWAT
2.CROPWAT 8.0 for Windows is a computer program for the calculation of crop water requirements and irrigation requirements based on soil, climate and crop data.
Cha msingi unatakiwa kufahamu coordinates na stations zilizipo Dodoma au popote pale unapotaka kukusanya hizo data
You made my day. I wish he was a member to read this. Mimi ni mama na huyu mwenzio hakai nchini na mimi siko nchini ila aliona afanye utafiti kuhusu nchi yetu ili nasi tulikane. Nakaa bara tofauti na mwanangu na ananihitaji kumsaidia sababu yeye damu yake bado ipo Dodoma na kagera.Kumsadia nitamshauri ajaribu kupasha kichwa chake moto ili ajue data za aina hiyo atazipata wapi. Kutafuta data na kujua utazipate na wapi ni sehemu ya reseach! Yeye hakuwa na uwezo wa kuulizia kama ulivyofanya wewe? Mtu anaandika thesis ya masters kweli kweli bado analia ''mama mama nisaidie''?
Mwanao yuko nje (na assume kwenye nchi iliyoendelea ambapo Internet imetamalaki) anamlilia mama yake ambaye yuko porini amsaidie kuulizia mambo ya data kwenye internet! Mkuu usinione mimi mkorofi ila naona kama huyo mwanao siyo mtu wa kujituma au hataki kushughulisha kichwa chake. Hiki kizazi cha dotcom kweli anashindwa kuulizia mwenyewe kwenye forum kama hii? Ingekuwa mimi nisingemsaidia na ningemwambie afungue account JF (kama hana) aulizie mwenyewe! Usimwendekeze... ni kwa faida yake.Huyu mtoto hakupenda kufanya huu utafiti ila prof. wake kamsahauri kama siyo kumlazimisha afanye huo maana anatoka Tz.
Mwanangu amechanganyikiwa inabidi aje Bongo wakati mimi nipo porini kwenye misitu halafu hana wa kumsaidia ndo maana nikaomba msaada ndugu.
Naomba nikujibu bila hasira. Siyo huyu Tu hata mdogo wake 2017 nilienda naye milembe Dodoma kuomba afanye research na wagonjwa wenye matatizo ya akili, niliambiwa na mganga mkuu nimwone Waziri wa afya!Unafanya research ya Tanzania na uko Italy huo tunauita mambo ya Kipu.mb.avu, anatakiwa aje Bongo na afuate taratibu za nchi katika ukusanyaji wa Data au ufanyaji research, ikiwemo kupata kibali.
Na sijui kama mwanao ni raia wa Tanzania kama siyo raia mwambie atafute na work permit
Naomba nikujibu bila hasira. Siyo huyu Tu hata mdogo wake 2017 nilienda naye milembe Dodoma kuomba afanye research na wagonjwa wenye matatizo ya akili, niliambiwa na mganga mkuu nimwone Waziri wa afya!
Hatukuishia hapo tukaenda miyuji sister aliyekubali mwanangu aende pale alihamishwa within a week. Ilibidi mwanangu aende Nairobi ndo alipewa nafasi. Huyu wa sasa kama kaka take asingekuwa na cheo kwenye kampuni Fulani asingepata research. Case study wanapewa kulingana na unakotoka. Hawapewi pesa za research hivyo kurudi nyumbani ni gharama. Wakija ndo mlolongo wa hapa na pale. Wangepata kwenye Google nisingekuja jf. Wanangu hawadeki Ila imefikia hawana jinsi.
Am tongue tied. Siwezi sema zaidi. Ukienda nchi nyingi research wanakukaribisha vizuri hata unapewa na vivutio sababu wanataka watangazwe. Sisi kwetu ni kama wanakufaidisha hawajui research yako inaweza saidia nchi nzima.Pole @Niah,sijui kwa nini vitu kama hivyo haviko easily accessible, anyway naona ataweka kwenye reflection kuwa Tanzania-Africa kuna ugumu kupata data inabidi mtu afanye vitu physically ambayo hata nayo kuna ugumu pia,And that's why his research is even important/worth sio contribution yake katika nchi yetu tu bali ku identify wapi kuna gap/upungufu and recommendations...
Bonyeza *149*01# chagua Yakwako tu kisha central zone,hapo utapata data za singida,dodoma,moro, na mikoa ya kati.Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini. Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.
Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.
Mkuu natumia laptop na wifi halafu nipo nje ya nchi. Nawezaje kupata kwa njia nyingine?Bonyeza *149*01# chagua Yakwako tu kisha central zone,hapo utapata data za singida,dodoma,moro, na mikoa ya kati.
Bangi nayovuta ni mbaya
Akya nani yani mabeberu wanaanza kuiba joto la nchi yetu uwiii Magufuli msaliti uyu hapa anasaidia mabeberu wameshindwa iba nadini sasa wanataka iba joto la nchi yetu .Mkuu natumia laptop na wifi halafu nipo nje ya nchi. Nawezaje kupata kwa njia nyingine?
Nenda Mamlaka ya Hali ya Hewa gorofa ya tatu Ubungo Plaza. Kitengo kinachohusika ni Customer care. Hapo utapata data zote unazotaka hata kama ni kuanzia mwaka 1896. wana Archive kubwa sana na data zao ziko vizuri. Pia watakupa ushauri mzuri kutokana na matumizi yako. Huwa kuna kulipia hivyo mwambie mwanao aende kwani kwa wanafunzi bei ni ndogo. Hakuna namna nyingine unaweza kupata hizo data bila kupewa na Mamlaka ya Hali Hewa (TMA)Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016. Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake. Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini. Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.
Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.