Wana jamvi, naomba msaada wenu kupata hizi data za joto na mvua kuanzia 2006 mpaka 2016.
Sipo nyumbani ila mwanangu anafanya research yake ya masters na professor wake anataka afanye hiyo kwa masters yake.
Nisaidie ndugu zangu ningekua nyumbani ningekwenda kwa wahusika ila nipo porini.
Please help my son. You will never know anaweza tusaidia sote kwenye haya matatizo yetu. Please.
Natanguliza shukrani zenu kwa wale watakaokunwa na hili.